Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
Act ni chama kisichofuata dem uchaguzi unafanyika tr 28 lkn mwenyeki zitto ameshateuliwa
 
Chadema ni vilaza tu, sasa mijadala iliyokuwa inaibuliwa na Zitto ni nani atakayeiibua?

Tukumbuke kuwa huyu jamaa ana uwezo mkubwa wa kumchana mtu live kama alivyofanya kwenye ile ishu ya Buzwagi alivyotamka wazi kuwa mawaziri waliotoa kauli zilizohusu lile sakata ni waongo.
 
Last edited by a moderator:
Nathubutu kusema Tundu_lissu alikurupuka kumvua bwana zitto uanachama!suala hili ni lazima litaigharimu chadema,pia nathubutu kusema ushindi kwa chadema ktk ngazi ya urais uishe pamoja na kuunganisha nguvu zao na kutengeneza "ukawa" zitto alipaswa abakishwe ndani ya cdm kama dormant member huku akifuatiliwa kwa ukaribu nyendo zake// Linalokuja kutokea ni kwamba kwa kujiunga na chama chochote kile lazima atakuja kuzigawa kura za ukawa kwa maana baadhi ya kura zilizotakiwa kuja ukawa zitakwenda kwa chama kipya atakachoingia "zitto"/ TUVUTE SUBIRA KIDOGO TUSHUHUDIE/KUONA NGUVU ZA "ZITTO"

Tundu lisu hajamfukuza zitto kilichomfukuza ni Katiba ya Chama ambayo Sheria Mama ya Chama. Tundu lisu kacheza nafasi yake kama Mtaalam wa Sheria na Mwanasheria Mkuu wa Chama hizo nyingine ni propaganda.
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni vilaza tu, sasa mijadala iliyokuwa inaibuliwa na Zitto ni nani atakayeiibua?

Tukumbuke kuwa huyu jamaa ana uwezo mkubwa wa kumchana mtu live kama alivyofanya kwenye ile ishu ya Buzwagi alivyotamka wazi kuwa mawaziri waliotoa kauli zilizohusu lile sakata ni waongo.

sasa hapo ninani alimchana laivu?
kwani kazi yake ilikua ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni vilaza tu, sasa mijadala iliyokuwa inaibuliwa na Zitto ni nani atakayeiibua?

Tukumbuke kuwa huyu jamaa ana uwezo mkubwa wa kumchana mtu live kama alivyofanya kwenye ile ishu ya Buzwagi alivyotamka wazi kuwa mawaziri waliotoa kauli zilizohusu lile sakata ni waongo.

Ni mropokaji sio mtu wa mikakati
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la huyu bwamdogo ZZK anapapara sana na uongozi, muda wake wa urais bado
 
Huyu mtu kweli alikuwa ni KIBARAKA WA CCM, Mbona tangu afukuzwe CDM hakuna habari yoyote ya ndani ya chama inayovuja, tofauti na wakati akiwa N/KM??
 
Taarifa zilizosambaa bungeni ni kuwa, mbunge wa Kigoma kaskazini, Zitto Kabwe anakusudia kuaga wabunge wenzake leo.

Taarifa zinasema Zitto alitaka kufanya hivyo kabla ya kukabidhiwa barua na chama chake tangu siku ya jana ila alitulizwa na spika Makinda.

Pia,gazeti linaripoti kuwa anakusudia kujiunga na ACT katika muda wa siku 8 zijazo.

Chanzo:Nipashe

Hapana.....Spika anapokea notification kutokaNEC ndipo anatengua ubunge....haiwezi kuwa kwa kupokea barua tu
 
Afanye haraka maana uchaguzi wa act ni tarehe 28 march kwa hiyo apate muda wa kujiunga act na kwenda kuomba ridhaa ya kuwa mwenyekiti
Mytake wanachama wa siku 10 anachaguliwa mwenyekiti

yeye ndio ACT haitaji kufanya haraka ACT ndio inamsubiri hata ikibakia siku moja hakifanyiki kitu bila yeye na mkuu mwenzie LOWASA. Hawa jamaa ndio wamejipanga kuimaliza kwanza CCM halafu CDM Kinafuatia. stay tune!!
 
Nathubutu kusema Tundu_lissu alikurupuka kumvua bwana zitto uanachama!suala hili ni lazima litaigharimu chadema,pia nathubutu kusema ushindi kwa chadema ktk ngazi ya urais uishe pamoja na kuunganisha nguvu zao na kutengeneza "ukawa" zitto alipaswa abakishwe ndani ya cdm kama dormant member huku akifuatiliwa kwa ukaribu nyendo zake// Linalokuja kutokea ni kwamba kwa kujiunga na chama chochote kile lazima atakuja kuzigawa kura za ukawa kwa maana baadhi ya kura zilizotakiwa kuja ukawa zitakwenda kwa chama kipya atakachoingia "zitto"/ TUVUTE SUBIRA KIDOGO TUSHUHUDIE/KUONA NGUVU ZA "ZITTO"

Tundu Lissu ndiyo alimvua zitto ubunge? Duuu.

Hizo kura za ukawa atakazozigawa ni ngapi coz wapiga debe wote wa zitto wako CCM sasa sijui kama unaelewa sawasawa kitakachotokea.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom