Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
Kada wa chama cha mafisi unajikana huna chama umehama ccm lini?kidogo kasogeza MUDA,maana angefukuzwa tokea mwaka jana,ila Mbowe atalipa tu ipo siku,damu ya CHACHA WANGWE haitopotea bure,nakujua wewe wanangu CHADEMA damu damu,mimi sina chama ila kiukweli bado sijaona mbadala wa CCM