MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Naisubiri hiyo siku maana watagoma na kutoka nje..au hawata hudhuria kipindi
Kuna Msemo wa wahenga unasema "MWISHO WA UBAYA NI AIBU" ndicho kinawakumba CHADEMA kwa sasa.
Naisubiri hiyo siku maana watagoma na kutoka nje..au hawata hudhuria kipindi
Mbowe anatamani angepewa heshima ya kulihutubia Bunge kama Zitto .
Kwa Mtanzania asiyejua mchango wa Zitto katika Taifa hili ni ana chuki binafsi na huo ndio ukweli. Inawezekana ndio mwenye mchango mkubwa kuliko Mbunge yeyote yule wa CHADEMA katika suala zima la mustakabali wa Taifa hili.
Na ule umaarufu wake kisiasa ndio umemfanya apate nyadhifa mbalimbali za Serikali sasa kuhusu hili hawa wenye Saccoss hii kitu hawapendi kabisa wanaona anakuwa maarufu kuliko wao au ukizingatia sio wa Kaskazini na kubwa zaidi dini yake.


Mkuu umeongea ukweli,Zito kapata kipaji kutoka kwa Mungu hawawezi kuzuia kipaji chake,na huu ni mwanzo tu pale ufipani watu watapakimbia we subiri.
Kwani nyie si mmeshatangaza kumfukuza, haya mapovu humu ndani ya nini?
hoja zipi?upuuzi wa kusema ana majina ya mabilioni ya uswiss?yapo wapi majina?Huo ndo ukweli mchungu.
Yawezekana ikawa ndo mbunge pekee toka 1964 aliyewa-inspire vijana wengi zaidi kuingia kwenye siasa kutokana na uwezo wake kujenga hoja nk
View attachment 236002
Angalia Mbunge wa CHADEMA ashakula VIJITI vyake vya Soko matola anaona sawa tu anachoandika. CHADEMA mna safari ndefu sana na wabunge wenu.
View attachment 236004
Mwingine huyu hapa ameshavuta VIJITI vya Moro wanajipongeza na BIEREEE hadi viatu kachanganya. Teh teh teh sasa hawa vifungu vya katiba wataelewa kweli au ndio kutaka wabunge ilimradi wana Upepo kwa Wananchi.
Huo ndo ukweli mchungu.
Yawezekana ikawa ndo mbunge pekee toka 1964 aliyewa-inspire vijana wengi zaidi kuingia kwenye siasa kutokana na uwezo wake kujenga hoja nk
Naona Mbunge Anaringishia shangingi, Kweli Ganja ni noma!
Saccos ya Mtei inazidi kusambaratika
Bora ahame tu,ni afadhali kula mchicha ukiwa na amani kuliko kula nyama ukiwa huna amani.
Zitto popote uendako tutakuunga mkono. Hatuwezi kuacha kupalilia weledi ulionao. Naamini maslahi ya taifa hili hayatajengwa na chama bali watu wenye kariba ya Zitto.
View attachment 236002
Angalia Mbunge wa CHADEMA ashakula VIJITI vyake vya Soko matola anaona sawa tu anachoandika. CHADEMA mna safari ndefu sana na wabunge wenu.
View attachment 236004
Mwingine huyu hapa ameshavuta VIJITI vya Moro wanajipongeza na BIEREEE hadi viatu kachanganya. Teh teh teh sasa hawa vifungu vya katiba wataelewa kweli au ndio kutaka wabunge ilimradi wana Upepo kwa Wananchi.
Kweli... anajua kuzungusha hao VIONGOZI wa NCHI HII wawe wa UPINZANI au CHAMA TAWALA...
Where is NYERERE? MBUNGE iso UMIMI ni Wananchi anaowawakilisha...
USA nchi yenye KATIBA IMARA na BUNGE linalofuata SHERIA na sio U-MIMI... Wasingeruhusu MICHEZO KAMA HII
Kwahiyo na MTU MWINGINE pia akipata kama ya ZITTO pia atapewa MUDA wa kuongea kwenye BUNGE TUKUFU LA WANANCHI HURU wa TANZANIA???