Mwaka huu lazima ZITTO atawatapishaTaifa la vikwapa
Mwaka huu lazima ZITTO atawatapishaTaifa la vikwapa
Spika kaongeza nusu saa ktk wakati wake wa kuendesha kipindi cha kikao cha bunge leo. Bila shaka atakuwa anataka mzalendo na kijana mpambanaji aitumie nusa saa hiyo kuaga bunge.
Achana na hao vilaza wa CHADEMAChadema mmesahau kuwa lile ni bunge la Watanzania na sio bunge la Chadema. Zitto kaingia bungeni kama mwakilishi wa Watanzania na siyo mwakilishi wa wanachama wa Chadema. Yeye kama mwakilishi ana haki ya kutoa hoja au jambo lolote bungeni kwa kufuata taratibu na kanuni za bunge. Pale si ofisi ya Chadema kwamba anafuata matakwa ya Mbowe. Hata hao Chadema wakitoka bungeni ni kazi bure kwa sababu hajaenda pale kuongea na wanachadema bali amekwenda kuongea na wananchi.
Mwaka huu lazima ZITTO atawatapisha
Aisee,wamwache tu Zitto amalizie ubunge wake,chuki mpaka mtu mnamfuta uanachama,sio vyema kabisa
BAVICHA mlikuwa mmeanza kutokwa jasho?Labda saa mbili ya kesho! Wabunge washatoka ukumbini
Kwani nyie si mmeshatangaza kumfukuza, haya mapovu humu ndani ya nini?Ccm ndio mnahangaika naye sijui kwa nini hamumchukui awe mwanachama wenu..mnapanuapanua tu midomo bila sababu hapa
Soma posts zangu zote,sijawahi kuwa upande wa fisadi Mbowe hata siku moja?Mbowe mwizi,anakidai chama kila siku,nafasi yake ya uenyekiti hanaga mpinzani,ukimpinga tu umekuwa adui,Mbowe ni useless kabisaUmeona ee hata wewe ulikuwa upande wa mbowe mtakimbia wengi
Aisee leo tutakunywa Mbe......, Mbege kweli. Ukabila kitu kibaya sana, unakitafuna hiki chama kimya kimya.WaCHAGA WATAFANYA SHEREHE SASA, , , , , wengi wetu tulipenda chadema sababu ya zitto.