View attachment 235990
Wamepima joto nadhani wameona lipo juu wakaufyata!
unakiri kuwa wewe ni shabiki mandaziWaCHAGA WATAFANYA SHEREHE SASA, , , , , wengi wetu tulipenda chadema sababu ya zitto.
Shame on youMwaka huu CHADEMA mtatembea na soksi vichwani,chezea ZITO Wewe,na bado.
Kanuni ziko wazi kabisa, Mbunge anaruhusiwa kutoa hoja, taarifa juu ya jambo fulani bungeniKanuni zinasemaje kwenye hili wadau❓❗❗❗
Soma posts zangu zote,sijawahi kuwa upande wa fisadi Mbowe hata siku moja?Mbowe mwizi,anakidai chama kila siku,nafasi yake ya uenyekiti hanaga mpinzani,ukimpinga tu umekuwa adui,Mbowe ni useless kabisa
Kasoma alama za nyakati na baada ya kuona dalili si nzuri akaamua kujiongeza.
Goooooosh,kwa vile Mrema,Lipumba ni wenyevyiti maisha,basi na Mbowe,mimi nilifikiri CHADEMA ni chama cha democrasia?basi mpaka hapa CCM haijapata mbadala wa kumreplace.We ni nani tena?
Hata aibu huna mbowe eti anang'ang'ania nafasi ya uenyekiti vipi kuhusu mrema?
Lipumba je?
Mmekalia kuti kwa ushupavu wa kamanda mbowe sasa hivi mnaleta propaganda za kizamani aibu!
We ni nani tena?
Hata aibu huna mbowe eti anang'ang'ania nafasi ya uenyekiti vipi kuhusu mrema?
Lipumba je?
Mmekalia kuti kwa ushupavu wa kamanda mbowe sasa hivi mnaleta propaganda za kizamani aibu!
Vipi hamad rashid naye atapewa nafasi ya kuaga bunge?