Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
Zitto ni mtu muhimu sana katika taifa hili. Anastahili heshima ya kitaifa. Anapewa nafasi kuaga bunge la JMT kama mbunge wa kipekee aliesimamia haki za wanyonge, na kuilekeza,kuikosoa na kuiwajibisha serikali.
Huna kichwa
 
Zitto = ccm= Act tanzania

kwangu mimi mtu yoyote mbaye anayazuia ama kwa makusudi ama bahati mbaya kwangu huyo nitakula nae shani moja

mimi nashindwa kumtofautisha zitto na ccm

nashindwa kutofautisha act na ccm

maana watetezi wakubwa wa act and zitto ni wanchama wa ccm including you, hii inanipa shida

inanipa shida sana msalani kumwona mwingulu, january makamba na luside wakimtetea zitto

sawa zito msaliti hebu muulze mwenyekt anadai sh ngap ndan ya chama half muulze mgao wa ruzuku kwenye majimbo ukoje mwisho muulze kwann kua mwenyekit mpk uwe na uhusiano na mtei
 
Last edited by a moderator:
Kwa Mtanzania asiyejua mchango wa Zitto katika Taifa hili ni ana chuki binafsi na huo ndio ukweli. Inawezekana ndio mwenye mchango mkubwa kuliko Mbunge yeyote yule wa CHADEMA katika suala zima la mustakabali wa Taifa hili.
Na ule umaarufu wake kisiasa ndio umemfanya apate nyadhifa mbalimbali za Serikali sasa kuhusu hili hawa wenye Saccoss hii kitu hawapendi kabisa wanaona anakuwa maarufu kuliko wao au ukizingatia sio wa Kaskazini na kubwa zaidi dini yake.
 
Mwaka huu tutasikia mengi na wengine ya kijinga na kipu..vu.
 
Afanye haraka maana uchaguzi wa act ni tarehe 28 march kwa hiyo apate muda wa kujiunga act na kwenda kuomba ridhaa ya kuwa mwenyekiti .

Mytake
mwanachama wa siku zisizozidi 10 achaguliwe kuwa mwenyekiti?

Huyu akili yake finyu anawaza uenyekiti tu
 
Bora ahame tu,ni afadhali kula mchicha ukiwa na amani kuliko kula nyama ukiwa huna amani.

Zitto popote uendako tutakuunga mkono. Hatuwezi kuacha kupalilia weledi ulionao. Naamini maslahi ya taifa hili hayatajengwa na chama bali watu wenye kariba ya Zitto.

Nenda na familia yako akaijenge
 
Anapewa nafasi ya kujitetea na Madam lakini CDM hawatopewa hizo ndizo siasa za Ccm
Wewe mtu acha kukurupuka ..una uhakika kuwa nafasi hiyo anapewa kujitetea..??usiwalishe watu matango poli...
Bila shaka psychological point of view we nimiongoni mwa waathirika na una mgogoro wa nafsi juu ya hili..pole sana
 
Kitaeleweka tu
 

Attachments

  • 1426786692240.jpg
    1426786692240.jpg
    29.1 KB · Views: 170
Kama Kijana Zitto Leo anawaaga Wabunge Wenzie,akisimama kuongea akumbuke ushauri mwema kwake kuwa Sasa ni muda wa yeye kuweka siasa pembeni na kwenda chini kabisa kuanza kujifunza Mama Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano.Zitto kama atajifunza kwenda ngazi ya chini ya kuanza kujifunza HOW MAMA TANZANIA WORKS, basi miaka mitano ijayo yan 2020/25 basi atakuwa na ufahamu mzuri sana na wenye ufahamu yakinifu wenye nidhamu, uzalendo, werevu, subira, usikivu na hata ujitambuzi binafsi wa kumenage stress na kuepuka mihemuko na jaziba hasa anapokutana na changamoto zinazohitaji maamuzi yenye utulivu zaidi na si mihemuko na bashasha.

Ni muda sasa kama kweli anataka kuwa Zitto wa Manufaa Kwa Taifa, ni muda wa kwenda nje ya siasa na kukaa daraja la kawaida la maisha ya Watanzania ambako kutampa fursa ya kuwa Mchezaji aliyekaa jukwaa la Watazamaji Uwanja wa Taifa huku akiangalia Timu ambazo alipata kuzichezea [Political Parties] zikimenyana na yeye kupima na Kutathimini [Evaluation & Analysis] juu ya kinachoendelea katika ujenzi wa Taifa kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Its a time for Zitto to have a stake in having his own Estate in Building the so called Tanzania outside politics. Ujenzi wa Taifa kupitia uzio nje ya sura ya siasa ni mgumu sana na muhimu sana kwa mtu mwenye kuipenda kweli Tanzania.So on your Mark!!!! Get Ready!!!! Paaa Huku nyuma sahau vyombo vya HABARI acha kabisa vijembe na kwa kuwa ni kizazi cha dotcom basi kwenye FB yako ni wakati mwafaka wa kuachana na posts za kisiasa na tuanze kuona michango yenye HAIBA ya ukomavu wa Intellegent person na sio Zitto Mwanasiasa.

Ukisikia habari za wanasiasa zipe kisogo subilia Kuevaluate na Analysis. Utajifunza mengi na utafunguka mengi kiasi kuwa utaona aibu kwa yale ambayo wewe uliyoyafanya, kwa hiari yako , au pasipo kujua kuwa umechezeshwa kucheza mziki wa wachagua wimbo....kama kweli unatoka huko utakuwa umesogea hatua kubwa sana.Ila Go and shut Up...Zitto na kama bado uko kwenye ulingo wa siasa kwa 2015/2020 basi Kwisheny Forever...Gone Gone Forever Katika Ulimwengu wa Siasa Za Tanzania na hata wale wa dilisha la mwisho jicho la Taifa nao Watakutupa Pia.

rahaa yako unataka sache siasa ili mpate pa kusemea hilo haliwezekani hapa ni mguu kwa mguu mpaka kieleweke
 
Kwa Mtanzania asiyejua mchango wa Zitto katika Taifa hili ni ana chuki binafsi na huo ndio ukweli. Inawezekana ndio mwenye mchango mkubwa kuliko Mbunge yeyote yule wa CHADEMA katika suala zima la mustakabali wa Taifa hili.
Na ule umaarufu wake kisiasa ndio umemfanya apate nyadhifa mbalimbali za Serikali sasa kuhusu hili hawa wenye Saccoss hii kitu hawapendi kabisa wanaona anakuwa maarufu kuliko wao au ukizingatia sio wa Kaskazini na kubwa zaidi dini yake.
Mkuu umeongea ukweli,Zito kapata kipaji kutoka kwa Mungu hawawezi kuzuia kipaji chake,na huu ni mwanzo tu pale ufipani watu watapakimbia we subiri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom