Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
Presha ipo ccm baada ya kuliwa pesa nyingi na zitto na lengo lenu la kuigawa cdm kwa kumtumia limefeli
Cdm imezidi kuimarika na uchaguzi umekaribia
Si mlisema mnamtumia kwa mpango wa muda mrefu?Toka 2008 sasa uchaguzi huo na zitto wenu kafeli mchukueni akapange pange mafaili pale lumumba bila hivyo lazima akili zimruke

Kutwa kucha mnafuatilia movement za Zitto wakati mlishamfukuza? Leo umeshaanzisha thread ngapi kuhusu Zitto?
 
Labda ataongea kesho ili weekend akafanye mkutano wa hadhara na ACT kigoma mjini akisapotiwa na Sserukamba
 
Zitto ni mtu muhimu sana katika taifa hili. Anastahili heshima ya kitaifa. Anapewa nafasi kuaga bunge la JMT kama mbunge wa kipekee aliesimamia haki za wanyonge, na kuilekeza,kuikosoa na kuiwajibisha serikali.
ukweli ndo huo,wanaumia vifaranga na mama yao
 
Nafikiri ana haki ya kusikilizwa mbona pr muhungo walimpa nafasi ya kuhutubia bunge kwenye sakata la escrow acc?
lkn ngeleja na wenzake hawakupewa nafasi hiyo? nafikiri spika anaweza kuamua kufanya jambo kwa jinsi anavyoona inafaa
Zero brain
Zero b
 
We ni nani tena?
Hata aibu huna mbowe eti anang'ang'ania nafasi ya uenyekiti vipi kuhusu mrema?
Lipumba je?
Mmekalia kuti kwa ushupavu wa kamanda mbowe sasa hivi mnaleta propaganda za kizamani aibu!

Watu wenye akili wanajiuza mbona ccm na wapambe wao wanataka mbowe asiwe mwenyeki wa chadema?
Mbowe amekuwa mwenyeki wa chadema.toka mwaka 2004 hadi 2015,amekaa madarakani miaka kumi tu kln utafikiri amewazidi wenyeviti wengine kama kina
Mrema
Lipumba
Cheyo
Mtikila
Mzirai
Makaidi na wengine wengi
kwani mbowe na ccm kulikoni na uwenyekiti wa mbowe
Watanzania tumieni akili kuna jambo hapa linaendelea
cuf ni ndugu zetu wa ukweli kabisa na kihstoria wamewai kufukuza wanachama wengi kuliko cdm lkn kulikuwa hamna promo kubwa kama hii kulikoni chadema?
Cuf walichukua maamuzi.magumu kwa maslai ya chama ndio maana.unaona mpaka leo wapo
Ccm mtakoma mwaka huu
 
kutwa kucha mnafuatilia movement za zitto wakati mlishamfukuza? Leo umeshaanzisha thread ngapi kuhusu zitto?
Zitto = ccm= Act tanzania

kwangu mimi mtu yoyote mbaye anayazuia ama kwa makusudi ama bahati mbaya kwangu huyo nitakula nae shani moja

mimi nashindwa kumtofautisha zitto na ccm

nashindwa kutofautisha act na ccm

maana watetezi wakubwa wa act and zitto ni wanchama wa ccm including you, hii inanipa shida

inanipa shida sana msalani kumwona mwingulu, january makamba na luside wakimtetea zitto
 
Last edited by a moderator:
We ni nani tena?
Hata aibu huna mbowe eti anang'ang'ania nafasi ya uenyekiti vipi kuhusu mrema?
Lipumba je?
Mmekalia kuti kwa ushupavu wa kamanda mbowe sasa hivi mnaleta propaganda za kizamani aibu!

Ongeza na Cheyo.pia atuambie mpinzani wa mkiti wa ccm.mijitu mingine hasara kwa wazazi wao
 
Kutwa kucha mnafuatilia movement za Zitto wakati mlishamfukuza? Leo umeshaanzisha thread ngapi kuhusu Zitto?

Tulimfuatilia toka 2008 tutaendelea kumfuatilia mpaka october kwa masilahi ya chama
Kwa bahati nzuri mbinu zetu zimekuwa bora kuliko zake na vibaraka wenzie wote
Hivyo vibillion alivyochuma vitamtokea puani kwa kuwasaliti watanzania
Yupo wapi Tambwe hiza,lamwai na Hamad rashid?
Acha awafuate kwenye shimo walilofukiwa wasaliti wenzie
Hamna mwanasiasa alishafanikiwa kwa siasa za usaliti wote wapo hoi!
 
Kweli nimeamini TZ tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye vipaji vya kila aina! Tangu Zito Kabwe aliposimamishwa Ubunge basi nchi nzima inamuongelea, hivi siku tukipata Mtu akapewa Nobel prize kwa kugundua labda dawa kinga ya Saratani itakuwaje si ndiyo tutashinda na kulala nje kuongelea hilo? Hivi Zito kabwe amefanya nini kustahili hata kufanya watu wakose usingizi? Eti tunahabarishwa Zito Kabwe ataongea saa fulani Duh! Kwa lipi hasa alilofanya kustahili haya yote?
Kweli sisi ni Dunia ya Tatu!

Nami nikuulize wewe umeifanyia nini nchi hadi kustahili kuyaandika haya, na wewe ndio kipaji chako hiki?
 
hakika Zitto ni pengo kubwa ndani ya CHADEMA na sidhani kwamba pengo lake litazibika ......halina ubishi vilevile Zitto ndio chimbuko la vijana wengi kuingia kwenye siasa hususani kupitia ndani ya chadema mfano Halima Mdee,David Silinde,Joshua Nassari,John Mnyika na wengineo wengi. Chadema mrudisheni Zitto haraka mfanye mazungumzo fukuzafukuza sio kitu

Sera za Chadema ndo sababu ya kukiunga mkono
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom