Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,910
- 7,765
Mhh,Huyu Zito kwanini anatufanyia hivi chadema??
Sasa unambania nani pua?
Mhh,Huyu Zito kwanini anatufanyia hivi chadema??
heeh,heeh,heehWe shika adabu yako!!!
kidogo kasogeza MUDA,maana angefukuzwa tokea mwaka jana,ila Mbowe atalipa tu ipo siku,damu ya CHACHA WANGWE haitopotea bure,nakujua wewe wanangu CHADEMA damu damu,mimi sina chama ila kiukweli bado sijaona mbadala wa CCMangetaka uawanachama wake angekata rufaa baraza kuu au mkutano mkuu ingemsaidia kubuy time, vilevile wangeweza kuyamaliza ndani ya chama lakini aliona huko hawezi pata haki. Je huko mahakamani amepata haki aliyotaka?
Hatimae utabiri wa mh Wassira unakaribia kutimia
Zito ni mpango wa mungu.
Hivi Dr Slaa si nilisikia ana ziara Kahama, mbona hasikiki?
una dalili zote za ushoga!
kidogo kasogeza MUDA,maana angefukuzwa tokea mwaka jana,ila Mbowe atalipa tu ipo siku,damu ya CHACHA WANGWE haitopotea bure,nakujua wewe wanangu CHADEMA damu damu,mimi sina chama ila kiukweli bado sijaona mbadala wa CCM
We shika adabu yako!!!
Kama Mbunge.Anahutubia kama nani?
Kama kawaida Bavicha wanajenga hoja za kuchukuwa dola.Una dalili zote za ushoga!
Teh teh teh hawa wahuni ndiyo tegemeo la Chadema kwenye uchaguzi ujao.View attachment 236002
Angalia Mbunge wa CHADEMA ashakula VIJITI vyake vya Soko matola anaona sawa tu anachoandika. CHADEMA mna safari ndefu sana na wabunge wenu.
View attachment 236004
Mwingine huyu hapa ameshavuta VIJITI vya Moro wanajipongeza na BIEREEE hadi viatu kachanganya. Teh teh teh sasa hawa vifungu vya katiba wataelewa kweli au ndio kutaka wabunge ilimradi wana Upepo kwa Wananchi.