Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
Jf kwa sound amjambo me nimeweka tako zangu hapa kumbe amna kitu!
 
Kweli nimeamini TZ tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye vipaji vya kila aina! Tangu Zito Kabwe aliposimamishwa Ubunge basi nchi nzima inamuongelea, hivi siku tukipata Mtu akapewa Nobel prize kwa kugundua labda dawa kinga ya Saratani itakuwaje si ndiyo tutashinda na kulala nje kuongelea hilo? Hivi Zito kabwe amefanya nini kustahili hata kufanya watu wakose usingizi? Eti tunahabarishwa Zito Kabwe ataongea saa fulani Duh! Kwa lipi hasa alilofanya kustahili haya yote?
Kweli sisi ni Dunia ya Tatu!
 
Naskia itaonyeshwa live online na:

Jamiiforums youtube channel
itv
azam tv
tbc
 
Nafikiri ana haki ya kusikilizwa mbona pr muhungo walimpa nafasi ya kuhutubia bunge kwenye sakata la escrow acc?
lkn ngeleja na wenzake hawakupewa nafasi hiyo? nafikiri spika anaweza kuamua kufanya jambo kwa jinsi anavyoona inafaa

Muhongo alifukuzwa na chama chake na kupoteza ubunge?
 
Mbowe anatamani angepewa heshima ya kulihutubia Bunge kama Zitto .
 
Wamejishtukia,te teh mwili wa marehemu(wa kisiasa)ulikuwa uagwe leo bungeni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom