Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
Ameshamaliza kazi aliyotumwa anarudi ccm huyo ndio maana anaota vyeo vikubwa km akina wasira
 
Kioo cha jamii ya watu wa Mbeya
 

Attachments

  • 1426791776135.jpg
    1426791776135.jpg
    81.1 KB · Views: 169
Chadema mwaka huu watajuta sana kwa kumuondoa Zitto. Hakika CCM watatumia hiyo kete kushinda
 
Jamaa wamezidiwa na uwezo wa zito kabwe katika kuanzisha na kusimamia hoja zake bungeni, na nje bunge, roho mbaya zao zimempeleka miles nyingi sana huyu kijana. Najua hawataki kuamini ila ukweli uliowazi kabisa zito ndo akamatiki tena.
 
Teh teh teh hawa wahuni ndiyo tegemeo la Chadema kwenye uchaguzi ujao.

Wakati Afande Sele a.k.a Baba Tunda atasima Morogoro mjini,20% atapeperusha bendera ya Chadema jimbo la Mkuranga.Jamaa wameshapata baraza zote toka kamati kuu.
 

Attachments

  • 1426792296583.jpg
    1426792296583.jpg
    51.6 KB · Views: 104
Wakati Afande Sele a.k.a Baba Tunda atasima Morogoro mjini,20% atapeperusha bendera ya Chadema jimbo la Mkuranga.Jamaa wameshapata baraza zote toka kamati kuu.
Team fisadi Lowasa kazini
 
Jamaa wamezidiwa na uwezo wa zito kabwe katika kuanzisha na kusimamia hoja zake bungeni, na nje bunge, roho mbaya zao zimempeleka miles nyingi sana huyu kijana. Najua hawataki kuamini ilai uliowazi kabisa zito ndo akamatiki tena.
Zitto ameshakufa kisiasa
 
Mjiandae kisaikolojia, maana biashara ya ukoo ndo hivo imeingia doa. Umejiandaa kufanya michongo gani? Sio mbaya kilimo utaweza maana wengine hapo ufipa mlishasahau hata kilimo cha migomba naamini utosahau jembe ulipolihifadhi.
Siasa za maji taka Zitto alikuwa sisimizi ndani ya CHADEMA .
 
Tatizo la viongoz wa CDM wanashindwa kutofautisha siasa za kipindi cha kudai Uhuru na siasa za vyama vingi ambayo wanapewa ruzuku na serikali ya CCM

Jingine kubwa zaidi wamelelewa na chama hiki hiki wanachokitaja kama cha kifisadi.
 
mie huwa siamini "conspiracy theories" mtu akifa amekufa hata tufatute sababu hawezi kurudi. Nakumbuka mkapa alipofanya ziara USA liulizwa kuwa inasemekana Kolimba aliuawa na chama yeye analiongeleaje hilo. Aliwajibu kama Mungu asingetaka Kolimba afe asingekufa kwa namna yoyoye ile. Hivyo kazi ya Mungu haina makosa.
Hapana hapa Mungu haingii kabisa,mtu anaamua kukatisha uhai wa mtu kisa uenyekiti wa chama,Zitto alitaka kugombea uenyekiti akaitwa na kina Mtei wakamwambia asigombee,sishangai Zitto akiundiwa Zengwe na kuitwa msaliti.Zitto angekuwa msaliti basi angewasaliti kina Mkili enzi zile wanagomea SHILINGI 2000 UDSM.
 
Hapana hapa Mungu haingii kabisa,mtu anaamua kukatisha uhai wa mtu kisa uenyekiti wa chama,Zitto alitaka kugombea uenyekiti akaitwa na kina Mtei wakamwambia asigombee,sishangai Zitto akiundiwa Zengwe na kuitwa msaliti.Zitto angekuwa msaliti basi angewasaliti kina Mkili enzi zile wanagomea SHILINGI 2000 UDSM.
Mawazo ya kijinga kutoka kwa mtu mjinga
 
Zitto katika wanasiasa wa zama hizi ni level za juu sana kwa vyama vyote ,ndo mana taifa lote linajadili ,Zitto ni MTU mzito ,ni tumaini la wanyonge kuliko chadema


Ok... Watanzania sasa tunaanza kutukuza WATU; Binadamu wenzetu... Haya basi ndio maana na KENYA KENYATTA alichaguliwa kuwa Rais kwasababu alikuwa MTU MZITO KULIKO CHAMA CHAKE....


Kweli tunakokwenda SIJUI... Lakini HII SIO DEMOKRASIA TULIYOITAKA...

Hakuna MZITO zaidi ya CHAMA, SERIKALI

Mfano YANGA na SIMBA hakuna Mchezaji MZITO watakwenda na wataondoka wanaziacha hizo TIMU PALE PALE...

Unatisha Kweli wewe...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom