falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,359
we hujui ZITTO NI ICON ya taifa
Zitto ni kijana mwenye akili sana!
Zitto atawaua kwa Presha BAVICHA.
Mwaka huu CHADEMA mtatembea na soksi vichwani,chezea ZITO Wewe,na bado.
we hujui ZITTO NI ICON ya taifa
Kanuni zinasemaje kwenye hili wadau❓❗❗❗[/QUOT
Mkuu,ZITO ni Icon ya taifa swala la kanuni linawekwa kapuni kwa maslahi ya taifa,hotuba zake kama za NYERERE
Aisee,wamwache tu Zitto amalizie ubunge wake,chuki mpaka mtu mnamfuta uanachama,sio vyema kabisa
Spika nae pimbi tu,anampa fursa kama nani
Kweli nimeamini TZ tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye vipaji vya kila aina! Tangu Zito Kabwe aliposimamishwa Ubunge basi nchi nzima inamuongelea, hivi siku tukipata Mtu akapewa Nobel prize kwa kugundua labda dawa kinga ya Saratani itakuwaje si ndiyo tutashinda na kulala nje kuongelea hilo? Hivi Zito kabwe amefanya nini kustahili hata kufanya watu wakose usingizi? Eti tunahabarishwa Zito Kabwe ataongea saa fulani Duh! Kwa lipi hasa alilofanya kustahili haya yote?
Kweli sisi ni Dunia ya Tatu!
zitto ni kijana mwenye akili sana!
we hujui ZITTO NI ICON ya taifa
Presha ipo ccm baada ya kuliwa pesa nyingi na zitto na lengo lenu la kuigawa cdm kwa kumtumia limefeli
Cdm imezidi kuimarika na uchaguzi umekaribia
Si mlisema mnamtumia kwa mpango wa muda mrefu?Toka 2008 sasa uchaguzi huo na zitto wenu kageli mchukueni akapange pange mafaili pale lumumba bila hivyo lazima akili zimruke
unakiri kuwa wewe ni shabiki mandazi