Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
Wakuu
Nadhani wote tunajua kuwa CCM
inapanga kutumia kila mbinu on
earth ili kuendelea kutawala
mwaka 2015 kihalali au kwa
zuluma. Sasa hivi, Chama Hiki
(ambacho kwa sasa ni
marehemu) kiko kwenye mikakati
mikubwa na madhubuti ya
kuhakikisha kitaendelea kutawala
hata kama hakitapata kura za
kutosha mwaka 2015. Baadhi ya
mikakati hiyo ni pamoja na:
Kumteua Lubuva kuwa
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi kwa makubaliano
maalumu kuwa atapewa ulaji
huo only if atakubali kuitangaza
CCM kuwa mshindi wa Urais
2015 hata kama itapata asilimai
10 tu ya Kura (Lubuva
Ameshakubali na atafanya hivyo)
Kuruhusu matokeo ya Urais
kupelekwa mahakami ili kuja
kumnyang'anya Slaa urais kupitia
mahakani in case things fall
apart and somehow someway
CCM looses. So Lubuva
Akishindwa kazi Othman Chande
atafanya kazi ya kutangaza CCM
kuwa mshindi no matter what.
(Chande ameshakubali na
atafanya hivyo)
Kupanga ugomvi wa CHADEMA
na polisi ili watu wauliwe na
hivyo kuwatisha watu kuwa
CHADEMA ni wagomvi na
ikiwezekana kuifuta CHADEMA
kupitia kwa jaji Mutungi.
(Mutungi amekubali na yuko
tayari kufanya hivyo ikibidi)
Na kama haya yote
yakishindwa (Yaani Lubuva,
Othman na Mutungi) then
karata kubwa ya Mwisho ni
Zitto Zuberi Kabwe. Sijui kama
yeye anajua hili ila CCM watakuja
watamshawishi Zitto Kabwe
agombee urais kama mgombea
binafsi. Ushawishi huu utafanywa
directly na CCM yenyewe na
indirectly kwa CCM kuwapa hela
rafiki zake Zitto wajerumani ili
wajidai wanampsonsor ili
agombee Urais kama Mgombea
binafsi.
Lengo kuu la CCM katika hili ni
kugawanya kura za CHADEMA ili
kuishinda. Wanachotaka CCM ni
hiki - Zitto akigombea basi Slaa
anaweza kupata asilimia 37 za
wapiga kura wote Tanzania na
Zitto akapata kama asilimia 25
huku CCM ikiambulia kama
asilimia 38. Mpaka hapo
(Japokuwa CHADEMA itakuwa na
asilimia 62) Mgombea wa CCM
atakuwa ameshinda (ukichukulia
watachakachua kura pia). Hii ni
trick ya kudivide kura za
CHADEMA na kuwafanya
wagombea wote wa CDM
wasipate kura za kutosha ilihali
angegombea Slaa peke yake
angepata asilimia 62. Kama hili
litafanikiwa Zitto atakuwa
ametumiwa kumnyang'anya Slaa
kura huku akiipa CCM ushindi
thru this divide and continue to
rule trick. Tricky hii huwa
inatumiwa sana Marekani na
ndio kete ya mwisho ya CCM
kuiangusha CDM thru Zitto
Zuberi Kabwe.

Hii thread ilianzishwa, mwaka 2012.
 
Zitto ni jembe nchi lazima isimame, sasa hivi mbowe na slaa wana ziara kanda ya ziwa hakuna anaefuatilia wamepoteza mvuto nchi nzima inamfuatilia Zitto

kwa sasa tunakimbiza majambazi ya ccm kimya kimya, mtakuja gutuka mmepigwa za uso. zitto hana jipya zaidi ya kupewa promo na media za mafisadi
 
Naomba kujua ni wabunge wangapi ambao walifukuzwa kwenye vyama vyao na kupoteza Ubunge alafu wakapewa nafasi ya kuutubia bunge? Anautubia bunge kama nani maana si Mbunge tena?
Kweli Zitto ulikuwa kibaraka wa CCM. Hongera Chadema kwa kuliona hili
 
Hujakosea ni kibaraka wa ccm na toka kuanza siasa za vyama vingi hajawahi kutokea kibaraka mtiifu kwa ccm kama zitto
 
Zitto ni Hero,kaisaidia sana CHADEMA iwepo ilipo leo,Zitto nakuhakikishia kabla ya uchaguzi CHADEMA itakuwa imesambaratika vibaya mno
Wengi wanaomba kama wewe, lakini ni maombi yetu kwa MUNGU aliye hai kwamba Haki itawale ili ufisadi ukome.
 
Naomba kujua ni wabunge wangapi ambao walifukuzwa kwenye vyama vyao na kupoteza Ubunge alafu wakapewa nafasi ya kuutubia bunge? Anautubia bunge kama nani maana si Mbunge tena?
Kweli Zitto ulikuwa kibaraka wa CCM. Hongera Chadema kwa kuliona hili

Fear of unknown.
 
Nafikiri ana haki ya kusikilizwa mbona pr muhungo walimpa nafasi ya kuhutubia bunge kwenye sakata la escrow acc?
lkn ngeleja na wenzake hawakupewa nafasi hiyo? nafikiri spika anaweza kuamua kufanya jambo kwa jinsi anavyoona inafaa
 
Unijui wewe, naijua siasa kitambo sana. Mmeng'ang'ania kusema mnachukua dola, wakati uhakika wa kusecure majimbo mliokuwa nayo ni ishu, nikukumbushe kuwa mara nyingi majimbo mengi yanakuwa na ushawishi wa mtu binafsi kafanya nini katika eneo lake sio chama chake. Ubaya wa CCM mnauleta katika chama kiujumla, kaeni chini mtafakali

its true sikujui,nimekujua kwa hoja zako fuasi,sijaona ushawishi wa zitto kwenye majimbo mengne kwa mana ya ushind umesau kua hata jimboni kwake ameshindwa kujenga ushawish kwa chama chake hasa ngazi za chini,katika Jimbo lake chadema wanaongoza kata tatu tu kati ya kumi na tano hvy si kweli kua ztto anaushawishi kwenye majimbo mengne wakat jimboni kwake tu ameshindwa!!!be objective and realistic,dont arque by hearsay!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom