Hii post ya
Maria Nyedetse ni ya kijinga sana. Unasema hakuna korosho ulizoziona zinaelea ufukweni? Wewe huijui bahari Kaa kimya!!
Unasema tu move on?? How can we move on bila kujua tulipokosea??
Yule mburura wa Chato kwa ujinga wake wa kujiffanya much now kaharibu biashara ya korosho na kuwatia watu hasara. Na nyinyi mlivyokuwa wajinga mlimshangilia aliposema Serikali itanunua korosho!!
Sasa hapa tunaweka wazi uhayawani alioufanya eti mtu mmoja anasema tu move on!! Pumbafu kabisa, na ndiyo hawa wanasema tuache kumchafua marehemu