Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Pole sana, kama waweza mpige BASI kwa vielelezo, taarifa na takwimu/data za uhakika zilizothibitishwa. Over and out.
Facts zipo wazi. NYEPESI ni MTUMWA hawezi kutuelezea faida za kuwa HURU. Akatae na ajitoe kwenye PAYROL anayolipwa, atubu, akili zikirudi ndio tuanze mjadala huru.
 
Zito ni miongoni mwa watu waliotuhumiwa ufisadi na ndugu zake kina Chadema,so hatutoshangaa yeye kuwakilisha kundi lililojificha la mafisadi waliokutana na mzalendo halisi wa nchi hii.
Mwizi, muongo na muuaji aliyejificha kwenye kichaka chenu wanyonge.
 
Ugumu kwa Zitto ulikuja kwasababu Zitto ni tapeli wa siasa, Magufuri hakupenda matapeli kwasababu Magufuri ananjua tokea ikiwa Chadema,jinsi Kikwete alivyokuwa akimtumia akiwa Chadema,hivo Magufuri alimkatia hiyo milija ndio chanzo ugonvi juu ya magufuri,kwani Zitto anausafi upi?
Jiwe ndiye tapeli wa Taifa plus muuaji.
 
Mbkna hatukuoma zikielea kuja ufukweni.

Zito akasome topic ya Tungamo (density) form one
 
Mwanamme anaogopa vita?
Na huyu jee
1651311605701.png
1651311687945.png
 
Kwani korosho huwa zinaoza ?? I mean zikiwa bado hazijabanguliwa haziwezi zikabaki salama mpaka msimu wa korosho unaofuata ?? Nauliza tu, nataka kujua !!
Inategemea sana na uhifadhi wake lkn mara nyingi huwa zinapukuswa ndani utakuta unga tu
 
Kweli mkuu, halafu kumsema marehemu ni upunguwani wa hali juu. Alikuwepo hukusema, kafa unatamba.

Isitoshe Zitto alikuwa ni mbunge na bado hakutumia jukwaa hilo kuyasema hayo
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh ZZK ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.

View attachment 2202765
Zitto uko sharp kwa data na mengine. Ila zambarao zenu mbichi
 
Back
Top Bottom