Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Umwage korosho baharini ili ugundue nn?kuna wakati hua nawaza km nati ktk kichwa cha mtu huyu zinafanya kazi.
Korosho majini zina elea. Picha tafadhali ili kuthibitisha alisemali Zito.
 
Kwa nini hizi korosho zilimwagwa bahatini wakati huku kwetu tuna nunua vikorosho kapakti kadogo elf moja? Pia kwa nini wasozigawe hata masculinity wanafunzi wakala.
 
Zito ni muongo.

Hili jambo nimelifuatilia na nilichokigundua ni tofauti na Zito alichokisema.

Korosho namna zilivyo hata zingemwagwa deep sea zingeletwa na mawimbi mpaka huku offshore na kwa jinsi wabongo walivyo tungezipata habari mapema sana.

Jamaa alikua hampendi tu Magufuli and anazungumza yote hayo kwa ajili ya chuki yake tu
 
IMG-20220501-WA0000.jpg
 
ZZK a
Zito ni muongo.

Hili jambo nimelifuatilia na nilichokigundua ni tofauti na Zito alichokisema.

Korosho namna zilivyo hata zingemwagwa deep sea zingeletwa na mawimbi mpaka huku offshore na kwa jinsi wabongo walivyo tungezipata habari mapema sana.

Jamaa alikua hampendi tu Magufuli and anazungumza yote hayo kwa ajili ya chuk

Zito ni muongo.

Hili jambo nimelifuatilia na nilichokigundua ni tofauti na Zito alichokisema.

Korosho namna zilivyo hata zingemwagwa deep sea zingeletwa na mawimbi mpaka huku offshore na kwa jinsi wabongo walivyo tungezipata habari mapema sana.

Jamaa alikua hampendi tu Magufuli and anazungumza yote hayo kwa ajili ya chuki yake tu
ZZK alikuwa ni mmojawapo wa wafanyabiashara wa korosho ambapo alikuwa akinunua kisha yeye ndio anapeleka kwenye vyama vya usharika na kupewa stakabadhi ghalani ilipofika kila aliyekuwa akidai malipo akaoneshe shamba lake alishindwa kujitokeza korosho zikatwaliwa na serikali. Pamoja na kwamba ana mashamba mengine aliyonunua huko kusni hasa Lindi na Mtwara ana chuki binafsi dhidi ya hayati JPM kwa kuwa yeye alitaka wakulima halisi walipwe bei ndogo kisha na wenzie wanyonyaji wakauze nje kwa bei kubwa yeye 'super profit' bila kujali mateso ya mkulima.
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh ZZK ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.

View attachment 2202765
Picha ya hizo korosho zikimwaga kwa bahari iko wapi
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh ZZK ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.

View attachment 2202765
Hii taarifa sina uhakakia kama ni ya kweli.
Kumwaga Korosho baharini si bora hata umeipa bure ile Kampuni hewa ya kununua Korosho iliyowahi kuletwa na mwenzetu?.
Kampuni hewa ukiipatia kitu inapokea, isipokuwa tu yenyewe ndiyo huwa haiwezi kutoa kitu!
 
Back
Top Bottom