luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,361
- 6,966
Izi habari anazinatoa wapi huyu
🤣Wenyewe kila kitu unachoongea zito ni amini na kweli. Hakihojiwi wala kutaka ithibati.
Adolph Hitler alikuwa 1945 lakini anakumbukwa hadi leo kwa maovu aliyofanya kwa wayahudi
Mkuu umejibu hoja kwa ustadi mkubwa sana. Mh.Rais akuangalieKwa
Kwann zitto usoni anafungus wengi Sana.
Kwani uwongo? Zitto anafangasi sana usoniWacha personal attacks
ushauri ulikuwa na tatizo? wapi alishauri wamwage bahariniZitto Kabwe akiishauri Serikali kununua Korosho zote za Wakulima View attachment 2203418
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kumpiga mbunge risasi laivu kwenye eneo lenye usalama wa kutosha na CCCTV Camera kung'olewa napo kuna nini hapo?Umwage korosho baharini ili ugundue nn?kuna wakati hua nawaza km nati ktk kichwa cha mtu huyu zinafanya kazi.
Kama kaficha neda karipoti polisi huyu mha wa ajabu sana. Tunatambua Zitto alinunua mashamba kadhaa ya korosho Mtwara, na kununua korosho kwa wananchi lakini alishindwa kujitokeza kwenye vyama vya ushirika (hifadhi ghalani) pindi ulipoitishwa uhakiki halafu anazuka na uongo huyu ni shetani mkubwaBaada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh ZZK ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.
View attachment 2202765
You cannot prove him wrong while his statements has never been supported by any evidence.Hoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
Mmoja tu kati ya wahusika ndio ametangulia mbele ya haki, je hawa wengine waliohusika tunawaacha waendelee kusema kazi iendelee?Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh ZZK ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.
View attachment 2202765
He threw some figuresYou cannot prove him wrong while his statements has never been supported by any evidence.
sasa zilienda wapi? km sio baharini, Korosho kweli zinaelea tukisema zilienda Chato ndio tutaonekana wehu, lkn kuna Wabunge wa huko karibia wafukuzwe ubunge kwa kutaka kusema ukweli
Naamini watashughulikiwa inavyotakiwaMmoja tu kati ya wahusika ndio ametangulia mbele ya haki, je hawa wengine waliohusika tunawaacha waendelee kusema kazi iendelee?
BOT wanakwepaje hii liability ya mkopo usiolipika? Agricultural Bank mnakwepaje hii liability?
Zitto Kabwe is a disaster to Tanzanian development and he is such a hypocrite to trust in anything he talks about, acts, and thinks of delicate and sensitive matters of the country's interests.ushauri ulikuwa na tatizo? wapi alishauri wamwage baharini
Sheitwan ni wana sukuma gangKama kaficha neda karipoti polisi huyu mha wa ajabu sana. Tunatambua Zitto alinunua mashamba kadhaa ya korosho Mtwara, na kununua korosho kwa wananchi lakini alishindwa kujitokeza kwenye vyama vya ushirika (hifadhi ghalani) pindi ulipoitishwa uhakiki halafu anazuka na uongo huyu ni shetani mkubwa
Yes hayo ndio majibuHoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures