Nahitaji boss wa kufanya nae biashara ya korosho

Kaiche

Senior Member
Jan 23, 2017
141
269
Habari wanajukwaa ,

Korosho ni zao ambalo hulimwa mikoa ya Mtwara na Lindi, Na ni zao kuu la biashara katika mikoa hiyo.

Biashara ya ununuzi wa korosho, imewatoa watu wengi sana kutokana na faida kubwa inayopatikana endapo utakuwa makini.

Napatikana Masasi -Mtwara, Nahitaji boss ambaye yupo tayari tufanye hii biashara ya korosho. Kwa sasa kangomba hununuliwa kwa sh 1800 na kwa taarifa ambazo ninazo mwaka huu hili zao litakuwa na soko zuri ambapo bei inaweza kufika elf 3 hadi 3500 kwa kg 1.

Kwa maelezo zaidi karibuni sana Inbox
 
Shida umeandika kama unakimbizwa wakat ni suala la business, weka indeep kila mtu aelewe siyo kukumbilia njoo inbox
 
Back
Top Bottom