blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,414
- 16,787
Afe!!!Alikuwa wapi kuyasema hayo jamaa akiwa hai?
Afe!!!Alikuwa wapi kuyasema hayo jamaa akiwa hai?
Nawaza tu baada ya miaka 30! Magufuli na Zitto nani atakumbukwa?Wewe kibori nangai siyo mfuatiliaji wa mambo. Zitto ni kati ya watu ambao wamemkosoa sana Magufuli akiwa Rais. Nitakupa ushahidi hapa;
1. Alichomewa nyumba na shamba Mtwara na watu waliotumwa na Magufuli
2. Mwaka 2016 alikuwa anatakiwa kukamatwa ikabidi ajifiche bungeni hadi Spika alipotoka naye kwa gari lake.
3. Alifunguliwa kesi kama 2 za uchochezi Mahakama ya Kisutu lakini alizishinda.
Yapo mengi aliyifanyiwa kwa kuwa alikuwa anamkosoa Magufuli wazi wazi.
Si ameishasema ni za Bilioni 876. Unataka nini tena mfia legacy?
Bahari in kawaida ya kucheua kitu chochote kisicho maji ukiacha samaki na viumbe wengine wa huko, je wapi zilikoonekana hizo korosho zikiwa zimezagaa pwani?Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh ZZK ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.
View attachment 2202765
Kama nani?Mimi sio mwanasiasa...
Wapo wanasiasa waliomsema na wangali hai hadi sasa...
Tafadhali kama huna hoja unyamaze. Be very objective and a facts finder, siyo kutuletea mitusi mibaya hapa.Zitto Kabwe kibaraka wa bibi vasco
Huyu ni kama nge anang'ata kwa mkia na kula kwa mdomoZitto Kabwe akiishauri Serikali kununua Korosho zote za Wakulima View attachment 2203418
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sijawahi kuwa na vyeti fake mm mkuu wala siyo sehemu ya wezi! Huyo unayemtetea bwana JPM naye alikuwa jambazi tu. Yeye alikuja kwa staili uliyoipenda wewe!Kama vyeti feki basi ulikua mwizi.
Kwann zitto usoni anafungus wengi Sana.Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh ZZK ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.
View attachment 2202765
Jiwe anatetewa na wezi wa mali za umma na wasiyo na vyeti halali vya kufanyia kazi serikalini.Hahaha sijawahi kuwa na vyeti fake mm mkuu wala siyo sehemu ya wezi! Huyo unayemtetea bwana JPM naye alikuwa jambazi tu. Yeye alikuja kwa staili uliyoipenda wewe!
Unajua kwamba tulilipishwa mahela mengi kwa ujinga wake wa kukamata meli ya wachina bila kufuata sheria? Hii ilitangazwa popote?
Watu wakihoji ati vyeti feki.... ????
sasa zilienda wapi? km sio baharini, Korosho kweli zinaelea tukisema zilienda Chato ndio tutaonekana wehu, lkn kuna Wabunge wa huko karibia wafukuzwe ubunge kwa kutaka kusema ukweliHakuna mvuvi aliyevua korosho baharini muangalie jinsi ya kusema uongo wenu.
CCM kuna majini wengi! Tulibahatisha jini kashkash aka magufuli! bado yako mengi tu yanatoa udenda wa damu zetu!Huyu marehemu huyu, kwa kweli hasara aliyoisababishia nchi, sijui kama kuna mtu anayejua kwa uhakika.
Bahari in kawaida ya kucheua kitu chochote kisicho maji ukiacha samaki na viumbe wengine wa huko, je wapi zilikoonekana hizo korosho zikiwa zimezagaa pwani?