Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 8,985
- 13,488
Wewe kibori nangai siyo mfuatiliaji wa mambo. Zitto ni kati ya watu ambao wamemkosoa sana Magufuli akiwa Rais. Nitakupa ushahidi hapa;Haituusuuuu
Aendelee tuuu nauchawa wake
Mbona Wakati Chuma yupo akudhubutu kufungua domo lake
1. Alichomewa nyumba na shamba Mtwara na watu waliotumwa na Magufuli
2. Mwaka 2016 alikuwa anatakiwa kukamatwa ikabidi ajifiche bungeni hadi Spika alipotoka naye kwa gari lake.
3. Alifunguliwa kesi kama 2 za uchochezi Mahakama ya Kisutu lakini alizishinda.
Yapo mengi aliyifanyiwa kwa kuwa alikuwa anamkosoa Magufuli wazi wazi.