Ostrich eggs
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 638
- 453
Soma na maneno yanayofuata ktk mstari huo, inasema mjibu MPUMBAVU sawasawa na upumbavu wake asije akajiona mwenye HAKI
Soma na maneno yanayofuata ktk mstari huo, inasema mjibu MPUMBAVU sawasawa na upumbavu wake asije akajiona mwenye HAKI
Nilipata soko la korosho zilizobanguliwa soko la Ulaya kipindi kile cha Magufuli.Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh ZZK ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.
View attachment 2202765
Zito naona kamuhusisha CAG hapo mi nasubiri CAG akanushe tuZito kaleta facta gani hapo?ushahidi.kwamba zilimwagwa baharini uko wapi?
Yule jamaa alikuwa anatumikia ndoto zake badala ya mahitaji ya taifa.Nilipata soko la korosho zilizobanguliwa soko la Ulaya kipindi kile cha Magufuli.
Lakini walitaka niwahakikishie viwango vya usafi wakati wa ubanguaji.
Nikapeleka wazo hili kwa barua TIC kutaka kuwaunganisha na wenye mahitaji na kwamba wathibitishe tu usafi na usalama kwa walaji.
Ile barua kila nilipoifatilia niliambulia misamiati tu;- kupo kwenye mchakato, upembuzi, subiri utajibiwa, mtambuka.
Tuna tatizo ktk watumishi wa umma hawako business minded.
Msukuma atafute soko la korosho wapi na wapi
Jiwe angekuwa hai ilibidi ashitakiwe kama mhujumu uchumi.Pumbafu zenu na zitto wenu. Mara GAG kasema hiki kasema hiki..mnashangilia. Mara cag kaficha hii mnashangilia. Kama mnamuamini sana cag kwa nini sasa afiche kumwagwa korosho baharini.
Tunajua vibaraka wa ubeberu hawataki serikali inayoingilia kulinda maslahi ya wakulima au tabaka la chini. Mnataka wafanya biashara wawakalie kooni wananchi kuwanyonya. Mnajidai eti soko liamue wakati wanyonge hawawezi kushindani na hila za wafanya biashara ikiwa serikali inashikwa na wahuni aina ya kina zitto, nappe na makamba.
Wafuasi wote wa Jiwe nawaona mnavyotokwa na povu kisa ufisadi wa mjomba wenu jiweHaya sasa atuambie kwa sasa wananunua kwa shs ngapi?hata kama kuna hasara lakini nia ilikuwa njema...Zitto ni mufilisi na mla rushwa zile tuhuma alizopewa wakati alipokuwa kiongozi wa kamati ya bunge ilikuwa kweli...na hata fedha alizochota Nssf yeye na February kwa kutengeneza vikundi feki hawajarudisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa kunyamaza for some time, bt pia Ukimwacha MPUMBAVU kuongea muda wote waeza sababisha wengine wanaosikiliza wasiojua UKWELI waneza amini uongo wake. Ndomana TUNAMPIGA.(Methali 26:5 Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.)
Kama kweli waamini kuwa atashindwa, BADO kumnyamazia ndio lingekuwa jibu lifaalo zaidi. AMEN
Pole sana, kama waweza mpige BASI kwa vielelezo, taarifa na takwimu/data za uhakika zilizothibitishwa. Over and out.Ni sawa kunyamaza for some time, bt pia Ukimwacha MPUMBAVU kuongea muda wote waeza sababisha wengine wanaosikiliza wasiojua UKWELI waneza amini uongo wake. Ndomana TUNAMPIGA.
Kweli mkuu, halafu kumsema marehemu ni upunguwani wa hali juu. Alikuwepo hukusema, kafa unatamba.Alikuwa wapi kuyasema hayo jamaa akiwa hai?
Kwani wavuvi huwa wanavua korosho? Tumia akili hata kama wewe sukuma gangHakuna mvuvi aliyevua korosho baharini muangalie jinsi ya kusema uongo wenu.
Hilo lichuma lako hujui kama lilikuwa liuaji kama ukijaribu tu kulisema kwa lolote. Ref Mh. Lissu na BenHaituusuuuu
Aendelee tuuu nauchawa wake
Mbona Wakati Chuma yupo akudhubutu kufungua domo lake
Nani angefungua mdomo wake apoteze uhai wake. Bora yule muuaji Mungu katuepusha nayeUzuri ni kwamba jamaa ni mwoga sana..kipindi cha magu aliufyata.
#MaendeleoHayanaChama
Sema shujaa wako, usidhani kila mmoja ni mnyonge au sukuma gang. Kipindi cha Jiwe hakuna mtu yeyote angeweza kuongea na kubaki hai. Huu ndiyo muda wa kuanika uovu wakeJamaa vp huyu mbona ana hasira sana na marehemu huyu yan kila Sikh anadondosha moja,amwache kidogo shujaa wetu apumzike
Labda kama huyo muuaji alicha alama takoni kwako. Sis wengine Jiwe alikuwa muuaji, mwizi na muovu wa kila kituHuyo kenge alie komaaa sura kama tako la nyani kamkomalia Jpm kama mke mwenza ....alete ushahidi hata wa picha ...kwanza ana lipi alilofanyia taifa hili mpaka anapata ujasiri wa kumsema mtu alie acha alama kubwa moyoni mwa watu ....kabwela ww ni kenge mmoja hivi na wanao kulipa kumchafua jiwe watakula tako hilo maana utafeli tu ....
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Jiwe alikuwa muuaji, mwizi na muovu. Hizi tuhuma zina ushahidi zoteanaeleta tuhuma ndio anapaswa kuleta ushahidi na sie kazi yetu ni ku challenge huo ushahidi
Mtume s.a.w katutahadharisha sana dhidi ya uongo hadi akatuamrisha tuuseme ukweli hata kama utatugharinu na tujiepushe na uongo hata kama utatupa maslahi
Hayati JPM anasingiziwa mengi sana na kwa kuwa watu wamejaza chuki vifuani basi kila kitu wanaamini …inanikumbusha baada ya vita ya Kagera kila sifa mbaya akapewa Iddy Amin hadi kuna mijitu hadi leo inaamini alikuwa anaua Mawaziri wake na anahifadhi na kula miili yao
Kwani korosho huwa zinaoza ?? I mean zikiwa bado hazijabanguliwa haziwezi zikabaki salama mpaka msimu wa korosho unaofuata ?? Nauliza tu, nataka kujua !!Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh ZZK ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.
View attachment 2202765