Video waziri mkuu alipokutana na wanunuzi kutoka Vietnam waliokuja kumaliza mzigo wa korosho
Meli za Vietnam zilizokuja kuchukua mzigo hizo hapo ☝️
View attachment 2204631
The T&T Group, a Vietnamese industrial, real estate and finance conglomerate, has signed a contract to purchase 176,000 tonnes of Tanzanian raw cashews
kimminhexim.com
Habari yenyewe ya ununuzi ilichukua international headline it was the biggest single purchase in history of cashews nuts.
Zitto anawashwa, hana jipya zaidi ya kumuongelea Magufuli; ndio kiki iliyobaki kwake aonekane relevant kisiasa.
Ni muda wa Zitto kujikitika katika biashara ya Mawese huko Kigoma siasa zishamkataa analazimisha tu.