Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Zitto,nenda juu saana uwaangushie lijikitu zito zaidi vichwani mwao.
Wamesahau yale aliyekuwa akisema Mh.Musiba kwa mapana na marefu.
Wamesahau matendo ya Mh Makonda.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Zito alikua kangomba namba moja.
Iandikwe na itoshe tu kusema Tanzania ilishawahi kuongozwa/kutawaliwa na mtu mpumbavu sana naye huyo mtu anaitwa JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Kila amuungaye mkono kwa matendo yake ya kifedhuli huku akijivisha kilemba cha UZALENDO naye ni fedhuli tu. anayeamini kwenye mauaji ya watu.
je nawe ni fedhuli?
 
Kama vyeti feki basi ulikua mwizi.
 
Hoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
How can you prove mere words? Alete evidence ya kuwa walimwaga korosho baharini.

Naona lile jitu linajitekenya lenyewe, mfumo unajifumua
 
We hufikiri,ukavue korosho bahati kuu!?

Wewe hufikiri hazikuletwa na upepo ufukweni mashuhuda wakaziona. Hii ingekuwa ni kweli fukwe zote za bahari dunia mikoko ingekuwa imekufa kwa kuwa replaced na mikorosho iliyoota kutokana na mbegu za korosho tani 230,000. Na UNESCO wangepiga kelele uchafuzi wa mazingira kwa sababu kungetokea criss ya bahari kuchafuliwa.
 
Huyu marehemu huyu, kwa kweli hasara aliyoisababishia nchi, sijui kama kuna mtu anayejua kwa uhakika.
Imagine alimwagiza Mfugale Tanroads wamnunulie mtambo wa sukari wa bil.120🤷‍♀️

Hakika tuishukuru "Covid" kwa kuondoka na mtu huyu
 
Back
Top Bottom