Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Zitto: Korosho zilimwagwa Baharini

Zitto athibitishe madai yake
sio kwa kuwa kuna watu mna chuki zenu zilizokithiri kwa JPM ndio tuamini kila kibaya kisemwacho dhidi yake

kama mnatenda haki igeni mfano wa Pohamba …maeneo aliyofanya vyema pia asifiwe
 
Huyo kenge alie komaaa sura kama tako la nyani kamkomalia Jpm kama mke mwenza ....alete ushahidi hata wa picha ...kwanza ana lipi alilofanyia taifa hili mpaka anapata ujasiri wa kumsema mtu alie acha alama kubwa moyoni mwa watu ....kabwela ww ni kenge mmoja hivi na wanao kulipa kumchafua jiwe watakula tako hilo maana utafeli tu ....

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
anaeleta tuhuma ndio anapaswa kuleta ushahidi na sie kazi yetu ni ku challenge huo ushahidi

Mtume s.a.w katutahadharisha sana dhidi ya uongo hadi akatuamrisha tuuseme ukweli hata kama utatugharinu na tujiepushe na uongo hata kama utatupa maslahi


Hayati JPM anasingiziwa mengi sana na kwa kuwa watu wamejaza chuki vifuani basi kila kitu wanaamini …inanikumbusha baada ya vita ya Kagera kila sifa mbaya akapewa Iddy Amin hadi kuna mijitu hadi leo inaamini alikuwa anaua Mawaziri wake na anahifadhi na kula miili yao


Hoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
 
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.

Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.

Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.

Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
🤣🤣🤣inabidi nicheke sasa
 
Hoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
And He who alleges must prove, that's the principle.
Kwakua Katoa tuhuma then he must provide proof along with it.
Hizo facts and figures yy ndo alitakiwa azitoe kwanza.
Unataka tumjibu kwa facts and figures gani alizoitoa yeye?
Sio kutoa tuhuma ilimradi tu apate kuchafua watu.
 
Mimi nafikiri mama angetusaidia pamoja na makamu wa rais na waziri mkuu wake wangetusaidia kudhibitisha haya madai ya zito maana nao walikua sehemu ya serikali hiyo la sivyo zito atakua anawachafua wote waliokua wanaendesha serikali
 
And He who alleges must prove, that's the principle.
Kwakua Katoa tuhuma then he must provide proof along with it.
Hizo facts and figures yy ndo alitakiwa azitoe kwanza.
Unataka tumjibu kwa facts and figures gani alizoitoa yeye?
Sio kutoa tuhuma ilimradi tu apate kuchafua watu.
Rudi kwenye topic
Zimewekwa figures
Pingana na hizo figures kwa figures kwanza
 
Back
Top Bottom