Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Akili yako ni kama hiyo avatar yako................ umedumaa wewe!!!!

Mkisha banwa mnakimbilia kujadili ID za watu kijana fanya kazi kama ni uenyekiti wa kitongoji utaupata tu kama ulivyoahodiwa.
 
Kama kweli wanataka msamaha ni vizuri wakasema ukweli wote jinsi CCM ilivyowatumia! Wawe wazi bila kuficha neno!!! Kusema tu wana mapenzi na CDM haitoshi!! Hayo ni mazingaombwe ya mchana kweupe! Wajieleze kwanza kwa umma! Baada ya hapo nguvu ya umma ndiyo itakayowahukumu!!
NAUNGA HOJA mkuu!wataje mtandao wote kuanzia CCM
 
Nitafurahi sana. Haiwezekani akili ndogo kuongoza akili kubwa.

Ndio maana tunawashauri muichukue akili ya zzk manake ccm mtu akitoka cdm lazima anakuwa na akili kubwa kuliko nyie.... Si unaona mmnavyoongozwa na akili kubwa kina juliana na mwampamba? Mwigulu mwenyewe anajua hamna uwezo wa akina shoza.. Chadema kumejaa akili kubwa tu... Tukiwatimua chukueni wawasaidie kujenga chama
 
kweli nyie ni viazi vitamu, kwa mtindo wa kusahau mambo.. ndio unaliingiza taifa kwenye matatizo...
Jambo likisha pita mda flani hata kama lilikua baya, mnajidai kulipotezea... haya twende kazi

Kwe kwe kwe kwe ..... Unatia huruma.... Huna hata hoja ya maana... Huo wimbo wa mapenzi ulishachuja zamani sana... Huna mwingine?
 
Ukimpinga mwenyekiti lazima upelekwe CCM! vijana wa MINI KABANG poleni.

Personally huwa namuelewa mtu kwa kile ambacho anakiongea sana na kukitilia msisitizo hata mahali ambapo hakihusiki...kuna mawili ambayo ninasoma kutoka kwako
1. Inawezekana kabisa unaliwa mini kabaang
2. Inawezekana kabisa unawala wenzako mini kabaang

Acha kabisa hiyo tabia na jitahidi kuwa na positive thinking tuweze kukuelewa, jenga hoja usionyesha udhaifu wa fikra zako
 
Ha ha haaa nimelewa kwanini watu wa Kigoma walimuita muheshimiwa MINI KABANG kamanda umejibu vizuri nilikuwa sijui maana yake!
 
kweli nyie ni viazi vitamu, kwa mtindo wa kusahau mambo.. ndio unaliingiza taifa kwenye matatizo...
Jambo likisha pita mda flani hata kama lilikua baya, mnajidai kulipotezea... haya twende kazi

Heeee wewe vipi unataka tuongelee jambo moja mpaka lini? Mbona mkuu huwa anaanguka jukwaani lakini siku hizi haisemwi tena? Maisha lazima yasonge mbele ndugu.... Haya wewe unataka turudi nyuma tuuuu... Wa wapi wewe, tutolee ushamba wako hapa
 
Kheri ya kua mshamba, kuliko kua mpu@#mbavu kwa kukumbatia ujinga kwasababu umefanyika kipindi cha nyuma.

Heeee wewe vipi unataka tuongelee jambo moja mpaka lini? Mbona mkuu huwa anaanguka jukwaani lakini siku hizi haisemwi tena? Maisha lazima yasonge mbele ndugu.... Haya wewe unataka turudi nyuma tuuuu... Wa wapi wewe, tutolee ushamba wako hapa
 
Kwahiyo na wewe ni great thinker? Basi sitoshangaa kuskia na Afande Sele anajiita great thinker.
hivi afande sele na minikabang wanatofautiana nini?? mbona umemdharau si mwanachama wenu au si nasaba yenu?
 
Mpigania dini upo? We ugonjwa tunaujua siku hizi

Unamtetea Zitto zababu ni Zuberi, Pia unaipenda CCM sababu mwenyekiti anaitwa Ahlfani.

Ndio single mpya mliyopewa pale makao makuu kinondoni?
Unalolisema inawezekana lina ukweli na wewe unashabikia CHADOMO kwasababu kuna wachungaji na padri?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom