Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Status
Not open for further replies.
ZZK hawezi kufukuzwa cdm i bet

Hakuna wa kuthubu, ziara ya slaa, kigoma ni kupima maji tu ili waone kama kina kirahusu kuvuka, nilishangaa jana mzee anatolea mfano wa kufukuzwa kwa madiwani wa arusha kwamba chama hakikutetereka, wao wanamlinganisha zitto na madiwani wa arusha!!! Slaa sasa anatafuta umaarufu kwa jina la zitto!! Aisee.
 
Ukuu wa katiba unapotumika watu wanaanza ooh unajua nilijiunga nikiwa na miaka 16 .Who cares?

History is concerned with past, current and future events! Even being a renown puppet is established through your history!
 
nje ya mada wapi maana hao si tofauti na nyie isipokuwa kwa sasa mnawatumia kama plasta?

Wewe wasema! Afu nakuonaga uko smart vile unavaaga mashati na sarawili za kitambaa afu unachomekea mkanda nje... Kwahizi siasa za udini na ukabila nimekudharau sana manake nimegundua kumbe smart nje kichwani umejaza kamasi tu!
 
Chama kitacho kuja kuchukua nchi kitatoka ndani ya CCM.
CDM hakina sifa ya kupewa nchi, kimeonesha mapungufu mengi sana ya kiuongozi, tukikipa nchi si itajiendaa kama mlevi
ni hatari sana mkuu ni kama kucheza karibu na mdomo wa mamba chadema kushika dola ni kama kumkabidhi chatu mbwa wako hatutakubali
 
Alishaomba misamaha mingi sana siku za nyuma Chama kikamsamehe. Huyo Mbowe anayetukanwa na kina Zitto amemvumilia zitto kwenye mengi.
Zitto hata akisamehewa(infact mimi sioni sababu ya kumsamehe) atafanyaje kazi na watu wasiomwamini? Zitto haaminiki. Wenzake kwenye Sekretarieti hawamwamini, CC haimwamini pia. Zitto haaminiki hata kwa wafagiaji pale ofisini Kinondoni.
Mbaya zaidi hata kwao Kigoma haaminiki tena.
Zitto ajitafakari. Kuna maisha mengine nje ya siasa za chadema. Aende kwingine akajijenge upya. Umri wake bado unamruhusu kuhimili changamoto mpya za kujijengea tena heshima iliyogaragara kwenye tope jeusi.
Zitto achana na Chadema.
come down mkuu, huwezi kuendekeza mgogoro kwa namna hiyo mkuu, zitto akibaki kama mwanachama wa kawaida atabaki yeye kujitafakari,kwa maana hatakuwa kwenye vikao vya kimaamuzi kama cc, baraza kuu, mkuu nk. Hiyo itasaidia pande zote mbili, upande wa zitto kujitafakari ili kurudi kundini ama la! Pia upande wa chadema itasaidia kwenye vikao vyao vya kimaamuzi kuwa wamoja katika utekelezaji wa maamuzi bila wasiwasi wa kuhujumiwa,pia itasaidia kujenga umoja wa chama. Kitendo cha kumfukuza moja kwa moja kitajenga picha kwa umma kuwa chadema walinuiwa kumfukuza uanachama!
 
Last edited by a moderator:
Wewe wasema! Afu nakuonaga uko smart vile unavaaga mashati na sarawili za kitambaa afu unachomekea mkanda nje... Kwahizi siasa za udini na ukabila nimekudharau sana manake nimegundua kumbe smart nje kichwani umejaza kamasi tu!
mimi ni kioo naonesha kilicho ndani ya chadema mtoto wa kike nielewe
 
Hakuna wa kuthubu, ziara ya slaa, kigoma ni kupima maji tu ili waone kama kina kirahusu kuvuka, nilishangaa jana mzee anatolea mfano wa kufukuzwa kwa madiwani wa arusha kwamba chama hakikutetereka, wao wanamlinganisha zitto na madiwani wa arusha!!! Slaa sasa anatafuta umaarufu kwa jina la zitto!! Aisee.

Ha ha ha ha h... Kama na wewe umekula hela ya zzk lazima uandike ulichoandika.... Subiri mtaandika sana tu manake zzk lazima tumtimue!
 
Unafiki wa chadema kwa hiyo kila kitu mnakiweka hadharani?
Hivi akina Zitto wakiamua kuweka kila jambo uchi mtabaki salama?

Umenena kweli mkuu, tatizo ni kwamba wanaojiita wana CDM humu JF wanatumia matusi zaidi kuliko kujenga hoja, huku wakiweza chuki binafsi zaidi bila hata ushaidi. CDM kwa sasa ipo katika wakati mgumu mno na hasa kufuatia maamuzi watakayoyafanya baada ya hizo siku 14 kupita. Wakimfukuza ZZK uanachama hakuna ambaye mpaka sasa anaweza kujua nini kitatokea kuhusiana na waachama kujindoa CDM. Na kama hasipofukuzwa wale ambao wamekuwa wanamchafua kila siku sijui watasema nini na sijui huko ndani watakuwa waongea vipi maana naona wanaendelea tu kumchafua utadhani wana uhakika tayari kuwa atafukuzwa na siyo mwenzao tena? Tukumbuke pia kwamba anaweza kufukuzwa mahakama ikamrudisha, nadhani mnajua kinachoendelea kwa Meya wa Ilemela jijini Mwanza ambae alifukuzwa n CDM!
Tatizo la CDM wanaamini kuwa kwa sababu waliwahi kufanya hivyo huko nyuma madhara hayakuwa makubwa basi hata kipindi hiki itakuwa hivyohivyo ingawa hawataji suala la Meya wa Ilemela anavyowabana baada ya kumfukuza na mahakama ikamrudisha. CDM wanatakiwa kutabua kwamba nyakati zinatofutiana kama wakati Fulani uliweza kumshinda X husidhani kuwa wakati wote utamshinda. Angalia mfano wa uchaguzi mkuu wa Zimbabwe uliopita, Tsvangirai alidhani atashinda tu kama aliyoshinda awali. Katika mgogoro huu kuna wananchi wengi wanaamini pamoja na makosa ya ZZK lakini hata hao wanaomhukumu wao wenyewe siyo wasafi. Ukisoma waraka wa marehemu Chacha Wangwe na waraka wa Mwigamba utaona tuhuma za mtumizi mabaya ya fedha na madaraka CDM ni za siku yingi. CDM wamesinda viti vya ubunge maeneo ya mijini ambapo watu wana uelewa mkubwa wa kupambanu mambo na siyo kusikiliza propaganda. Ngoja tusubiri tuone maamuzi ya mwisho na hatma ya CDM kuelekea 2015!
 
Maccm wengi akili zao zimedumaa. wewe ni mmojawapo
nakuona kwa mbali jinsi unavyojiuma uma na kujioonea aibu hivi chadomo na CCM nani watu wao wana akili za kudumaa?? you are looser
 
Umenena kweli mkuu, tatizo ni kwamba wanaojiita wana CDM humu JF wanatumia matusi zaidi kuliko kujenga hoja, huku wakiweza chuki binafsi zaidi bila hata ushaidi. CDM kwa sasa ipo katika wakati mgumu mno na hasa kufuatia maamuzi watakayoyafanya baada ya hizo siku 14 kupita. Wakimfukuza ZZK uanachama hakuna ambaye mpaka sasa anaweza kujua nini kitatokea kuhusiana na waachama kujindoa CDM. Na kama hasipofukuzwa wale ambao wamekuwa wanamchafua kila siku sijui watasema nini na sijui huko ndani watakuwa waongea vipi maana naona wanaendelea tu kumchafua utadhani wana uhakika tayari kuwa atafukuzwa na siyo mwenzao tena? Tukumbuke pia kwamba anaweza kufukuzwa mahakama ikamrudisha, nadhani mnajua kinachoendelea kwa Meya wa Ilemela jijini Mwanza ambae alifukuzwa n CDM!
Tatizo la CDM wanaamini kuwa kwa sababu waliwahi kufanya hivyo huko nyuma madhara hayakuwa makubwa basi hata kipindi hiki itakuwa hivyohivyo ingawa hawataji suala la Meya wa Ilemela anavyowabana baada ya kumfukuza na mahakama ikamrudisha. CDM wanatakiwa kutabua kwamba nyakati zinatofutiana kama wakati Fulani uliweza kumshinda X husidhani kuwa wakati wote utamshinda. Angalia mfano wa uchaguzi mkuu wa Zimbabwe uliopita, Tsvangirai alidhani atashinda tu kama aliyoshinda awali. Katika mgogoro huu kuna wananchi wengi wanaamini pamoja na makosa ya ZZK lakini hata hao wanaomhukumu wao wenyewe siyo wasafi. Ukisoma waraka wa marehemu Chacha Wangwe na waraka wa Mwigamba utaona tuhuma za mtumizi mabaya ya fedha na madaraka CDM ni za siku yingi. CDM wamesinda viti vya ubunge maeneo ya mijini ambapo watu wana uelewa mkubwa wa kupambanu mambo na siyo kusikiliza propaganda. Ngoja tusubiri tuone maamuzi ya mwisho na hatma ya CDM kuelekea 2015!

Unatuchosha na hii insha isiyokuwa na mpangilio..... Umeandika nini? Samarize mkuu wengine kusoma mavitu marefu hivi yasiyokuwa na mvuto hatuwezi kabisa!
 
Nyang'anya kadi hao, ukiomba radhi haimaanishi mahakama itakuachia huru kwa kosa lazima uhukumiwe. Nategemea tundu lisu ataheshimu taaluma ye2.
 
nyie ndo mnaongeza mgogoro

We nawe unakuwa kama una wazimu anayeongeza mgogoro si hao madogo wanaokimbilia media kutwa.Wao wanaonyesha kuwa hawapendi kuongozwa na kuwa wao ni wasmart mno wako juu ya chama na kila mtu sasa basi waende wakaanzishe chama chao
Madogo hayana nidhamu kabisa
 
Unatuchosha na hii insha isiyokuwa na mpangilio..... Umeandika nini? Samarize mkuu wengine kusoma mavitu marefu hivi yasiyokuwa na mvuto hatuwezi kabisa!
nilijua utafika ukomo wako tu ushazoea vya kuandikiwa shule muhimu mtoto wa kike we chezea keyboard tu utakwisha
 
Mimi binafsi nataka Chadema wawafukuze Zitto na Kitila pamoja na Mwigamba.

Akili kubwa haziwezi kuomba msamaha kwa akili ndogo za kina Lema na Mbowe.

Kukata mzizi wa fitina Chadema si muwafukuze.
mkuu umetumia kigezo gani kujua kuwa lema na Mbowe ni akili ndogo? Wakati zitto,kitila na mwigamba ni akili kubwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom