mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,275
- 1,226
kijana mbona unamchukia mwanaume mwenzio namna hii?Wewe umeambukizwa nini na Mhuni mwenzio Zitto?
kijana mbona unamchukia mwanaume mwenzio namna hii?Wewe umeambukizwa nini na Mhuni mwenzio Zitto?
Ha ha haaa nimelewa kwanini watu wa Kigoma walimuita muheshimiwa MINI KABANG kamanda umejibu vizuri nilikuwa sijui maana yake!
Ule usemi samaki ana ujanja akiwa ndani ya maji umetimia.
Baada ya kushindwa kukihujumu chama kwa mbinu mbalimbali ikiwemo ya kushambulia mikutano ya Dr Slaa na kutoa matamko ya kipuuzi wakiqatumia viongozi mbalimbali wale wasaliti waliokwapuliwa vyeo vyao ndani chadema na kinachosubiliwa ni kupokonywa uanachama wao Zitto, Kitila na Samson Mwigamba wamejisalimisha jana baada ya kujibu barua waliyotumiwa na kuomba wasamehewe na wasinyang'anywe uanachama kuwa wana mapenzi na chama.
Mtamfukuza lini?
Heeee wewe vipi unataka tuongelee jambo moja mpaka lini? Mbona mkuu huwa anaanguka jukwaani lakini siku hizi haisemwi tena? Maisha lazima yasonge mbele ndugu.... Haya wewe unataka turudi nyuma tuuuu... Wa wapi wewe, tutolee ushamba wako hapa
kijana mbona unamchukia mwanaume mwenzio namna hii?
Sio kila taarifa ya chama iwekwe hapa, chadema ijifunze kutunza siri. Lakini pia kama zitto ana mapenzi na chama chake, kwa nini asikanushe uovu uliotokea kigoma? Binafsi napata shida sana juu ya uzalendo wa zitto kwenye chama chake!
Umesahau daktari alianguka toilet hivi ule mkono ulipona au uzee ngumu kuunga.
Ukuu wa katiba unapotumika watu wanaanza ooh unajua nilijiunga nikiwa na miaka 16 .Who cares?
nina wasi wasi na hii ID maana chuki zenu zafanana fananaMwanaume msaliti ni boya tu hana tofauti na wewe unayetumia utumbo kufikiri
mini kabaaang imedumaaWe tulia umedumaa!!
mini kabaaang imedumaa
"Mtoto akinyea mkono haukatwi bali unaoshwa" huu ni usemi maarufu sana unaopendwa kutumiwa na wazee wetu. Maana yake ni kuwa anayekosa basi asamehewe, lakini wakati mwingine mikono huwa haiwezi takata hasa kama "mtoto" huyo anajinyea mara kwa mara na dawa hapo ni Kuikata mikono hiyo.
Hawa jamaa hawastahili kusamehewa kwani ni wasaliti. Let them go.....
Unafiki wa chadema kwa hiyo kila kitu mnakiweka hadharani?
Hivi akina Zitto wakiamua kuweka kila jambo uchi mtabaki salama?
si yule aloandikwa kwenye mabango ya huko kigomaaHivi MINI KABANG ni nani vileeeee......
si yule aloandikwa kwenye mabango ya huko kigomaa