Bifulipopalepale
Member
- Nov 27, 2013
- 22
- 12
your days are numbered
Usitake kutisha watu wewe
your days are numbered
ni hatari sana mkuu ni kama kucheza karibu na mdomo wa mamba chadema kushika dola ni kama kumkabidhi chatu mbwa wako hatutakubali
nilijua utafika ukomo wako tu ushazoea vya kuandikiwa shule muhimu mtoto wa kike we chezea keyboard tu utakwisha
we huoni?/ kama hata akili ya kujistiri na kujiheshimu mbele za watu hawana haya zingine jee?mkuu umetumia kigezo gani kujua kuwa lema na Mbowe ni akili ndogo? Wakati zitto,kitila na mwigamba ni akili kubwa?
CDM wanazani kuongoza nchi, hua ni maubabe na fujo pamoja na kulipiza visasi kama wao wafanyavyo.
Nchi huongozwa na watu wenye hekima, na si watu wapandikizao chuki miongoni mwa watanzania.
for sure hata huku ccm sijui kama watapokelewa na kuaminiwa!!ukimshawishi mke wa jirani yako aachike umuoe ujue hata kwako hata kaa, nadhani watakipitia kikombe cha waridi kabur.u!!Hatuwataki CHADEMA..., warudi kwa mabwana zao CCM, wakawaambie kuwa kazi waliyotumwa wameshtukiwa, CDM hatudanganyiki.
hatutishani tunapeana makavu live nenda shule binti bavicha wanakupotezea mba wakoNtakwisha na nini? Mbona tunaanza kutishana kaka msoga yetu?
Maccm wengi akili zao zimedumaa. wewe ni mmojawapo
we huoni?/ kama hata akili ya kujistiri na kujiheshimu mbele za watu hawana haya zingine jee?
na mtu mwenye hekima na mtulivu chadema hajazaliwa badoCDM wanazani kuongoza nchi, hua ni maubabe na fujo pamoja na kulipiza visasi kama wao wafanyavyo.
Nchi huongozwa na watu wenye hekima, na si watu wapandikizao chuki miongoni mwa watanzania.
hatutishani tunapeana makavu live nenda shule binti bavicha wanakupotezea mba wako
dada mbona unapanic?? tulia kitu kiingieUsitake kututoa nje ya mada... Hapa tunaongelea barua za akina zzk ila kama unataka tuhame wewe sema, manake hata yenu tunayo mengi ambavyo hamuwezi kujisitiri hata kwa vitoto vya shule..... Sema kama tunahama mada kaka!
kasome twisheniNipo likizo mpaka january 17... Jingine?
na mtu mwenye hekima na mtulivu chadema hajazaliwa bado
Refer madiwani Arusha, vua gamba taja nani alovua gamba?
Ukimpinga mwenyekiti lazima upelekwe CCM! vijana wa MINI KABANG poleni.
ha ha ha minikabang inaaminika italeta ukombozi jamaniii Tanzania tumeingiliwa na janga sugu aiseeUkimpinga mwenyekiti lazima upelekwe CCM! vijana wa MINI KABANG poleni.
MINI KABANG jeee?Boko haram...... Hilo jina tu, kwisha habari yako
Nataka Zitto afukuzwe wala sio Kitila wala hao Madiwani.
CCM ina hazina ya wasomi mpaka wengine hawatumikiHata zzk?..... Nyie si ndie mnamtukuza jamani?