Ule usemi samaki ana ujanja akiwa ndani ya maji umetimia.
Baada ya kushindwa kukihujumu chama kwa mbinu mbalimbali ikiwemo ya kushambulia mikutano ya Dr Slaa na kutoa matamko ya kipuuzi wakiqatumia viongozi mbalimbali wale wasaliti waliokwapuliwa vyeo vyao ndani chadema na kinachosubiliwa ni kupokonywa uanachama wao Zitto, Kitila na Samson Mwigamba wamejisalimisha jana baada ya kujibu barua waliyotumiwa na kuomba wasamehewe na wasinyang'anywe uanachama kuwa wana mapenzi na chama.
Unafiki wa chadema kwa hiyo kila kitu mnakiweka hadharani?
Hivi akina Zitto wakiamua kuweka kila jambo uchi mtabaki salama?
Kwa hiyo mkuu press conference Yale ni kueleza umma kuwa wameshajibu tuhuma?
na ukuu wa katiba unapokataa uwepo wa vyama vyenye mrengo wa kikabila na kikanda maanza kusema ooohh mbona wale nao wako hivyohivyo??!!
mtumwa asiyejitambua kama yeye ni mtumwa, huwa ni mtumwa mzuri zaidi
Habari hii iko ukurasa wa mbele Jambo Leo sasa tuwaulize wameiweka ili wapime upeopo wa rafiki yaoKwanza I wish to congradulate all my fellow Tanzanian on our Jamhuri Day, Mungu atupe uwezo na Busara za kujenga na kulinda nchi yetu tukufu.
Pili Vijana mnajua ukomavu hauletwi na Ubabe au na maneno ya kebehi, Mhe Zitto Hakuomba Msamaha wowote na hakuna sababu yoyote inayomlazimisha kuomba msamaha, kwani hakuna hatia ya kosa hata moja inyo mhusu yeye, yote ni ya hearsay. Yeye amejibu Barua ya Chama na amejibu vizuri sana na kwa heshima inayopaswa kukipa Chama chake.
Zitto hawezi kujitoa kwenye chama chake, na itakuwa weakness akifanya hivyo, lakini Chama kinawe kumfukuza wakiweza kuthibitisha kama mwanachama wake amefanya mbinu la kukihujumu chama, Na lazima Jamani tuwe watu makini, mara nyingi katika mikakati ya wanasiasa kuvutana na kuwa na ushindani wa kutafuta fursa za uongozi , huwa wanafanya makosa ambaye huyumbisha chama, na hao pia wanastahiki kutizamwa kwa makini na ikiwezekana wawajibike.
La muhimu hizi hikaya za Uzi huu kuwa wamejisalimisha ni uzuushi na cheap propagandur, nawe Bw Saanane chuki zako kwa Mhe Zitto zinajulikana kwa hivyo utakalo sema kuhusu huyu mwanasiasa anayeheshimiwa na wa Tanzania wengi , hawezi chafuliwa na mtu kama wewe. Bora utafute Kibarua kingine
ukuu wa katiba unapotumika watu wanaanza ooh unajua nilijiunga nikiwa na miaka 16 .who cares?
We care, the genuine party members of CDM.Ukuu wa katiba unapotumika watu wanaanza ooh unajua nilijiunga nikiwa na miaka 16 .Who cares?
nina wasi wasi na hii ID maana chuki zenu zafanana fanana
Watupiliwe mbali hao majanga,
...kasome ule waraka wao wa kipuuzi, halafu uje utuambie wamebakiza nini ili tuwashauri waseme.Unafiki wa chadema kwa hiyo kila kitu mnakiweka hadharani?
Hivi akina Zitto wakiamua kuweka kila jambo uchi mtabaki salama?
kumbee...........Ohooooo kumbe ni mbunge wangu!
Ahsanta
...Mkuu Mungi CCM wenyewe wanajua huyo MM ni majanga. ndo maana wanang'ang'ana abaki CHADEMA na apewe uwenyekiti.Mkuu baharia hao jamaa wamedumaa............. Zitto anapendwa sana CCM, akienda kule atakuwa Mwenyekiti wa taifa wa CHAMA CHAKAVU!!!
"Kauli ya Chacha Wangwe na baadhi ya Viongozi wa Chadema Kwamba Kuna Mgogoro (CHADEMA) Si ya Kweli, Kwani hali ni Shwari ila haya ni Mageuzi ya Kawaida katika Vyama vya Siasa, hasa inapoonekana Kuna Watu Wanakwenda Kinyume Cha Maadili na Madaraka Waliyonayo ......"
(Hii ni Kauli ya Zitto Kabwe aliyoitoa Mjini Tanga, tarehe 5.7.2008 akitetea Uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema Kumvua Madaraka aliye Kuwa Makamu Mwenyekiti (T) Marehemu Chacha Wangwe"