Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
we ndo useless onesha hizo barua bas
Barua unazitaka za nini wewe pimbi?! Si umchukue bwanako zitto mjenge ccm yenu?Chadema hatumhitaji
we ndo useless onesha hizo barua bas
kama ndo mpango wenu mmenoa wang'ang'ane huko huko muda walioupoteza uwagharimu na nyinyi ili mkome kuchezea watu hao wakae mabegani mwenu mpaka muanguke pamoja
Weka barua hapa tujadili maneno mengi ya niniUnataka barua wewe kama nani? Safari hii wamezipeleka bila kuwapa ccm copy manake wamewastukia mnataka kuwazamisha, hata hivyo hawawezi kusamehewa
kama ameomba msamaha ni vizuri kamati kuu ikamsamehe, zitto akiri makosa yake na abaki mwanachama wa kawaida,kutokumsamehe zitto kutadhihirisha kuwa chama kilipania kuwafukuza! Kamati kuu itumie busara. Ingawa kitendo cha zitto kukaa kimya juu ya uovu uliotokea kigoma sio sawa!
wana chuki hasa tena za kuuwa kabisaCDM chuki zimewajaa, na wala hamfai kukabidhiwa nchi.
mmefuliaaaaaaaaaaa
Amepofushwa na ubaguzi wa Umri.Ni mbaguzi in nature
Hata Yuda alikua miongoni mwa wanafunzi wa Yesu akaja kumsaliti dakika za Mwisho .Alikua sehemu ya historia
Namshangaa msomi anayetumia kigezo cha umri wa kuwa ndani ya taasisi kama justification ya kupewa haki za ziada nje ya katiba au katika compromise ya katiba iliyoandikwa na watu.Eti hii ndio "Akili Kubwa" na wengine ni "Akili ndogo".Ushamba wa kisiasa
Mkuu mbona tupo kwenye mjadala wa kawaida mkuu, kwanini unajiona bora, alafu binadamu wenzako walioumbwa na Mungu unaemuamini unawaona takataka??
Sawa mkuu wewe una hadhi sana mkuu. ila ajikwezae atashushwa.
wana chuki hasa tena za kuuwa kabisa
Kassumak naala buk...wapi barua kamanda?Almajunuun funun
Pasco akina ZZK na kundi lake bado wana akili za kuendesha siasa za KIDARUSO DARUSO kitilamkumbo alikuwa Raisi DARUSO na Baadae ZZK naye akawa kiongozi akiwa na akina Msando.Nakumbuka wakati wa mgomo wa 2004 kupinga Muswada wa HELSB usiku pale Mabibo Hostel huyu Msando alileta kero sana wakati wa kujadili hatima ya baadae baada ya muswada kupitishwa. Ni watu ambao bado wana endesha siasa za kijima zisizo na malengo ya jamii bali ubinafsi na utoto mwingi.Ule usemi samaki ana ujanja akiwa ndani ya maji umetimia.
Baada ya kushindwa kukihujumu chama kwa mbinu mbalimbali ikiwemo ya kushambulia mikutano ya Dr Slaa na kutoa matamko ya kipuuzi wakiqatumia viongozi mbalimbali wale wasaliti waliokwapuliwa vyeo vyao ndani chadema na kinachosubiliwa ni kupokonywa uanachama wao Zitto, Kitila na Samson Mwigamba wamejisalimisha jana baada ya kujibu barua waliyotumiwa na kuomba wasamehewe na wasinyang'anywe uanachama kuwa wana mapenzi na chama.
Weka barua hapa tujadili maneno mengi ya nini
wasaliti wa maslahi yapi?? kama wewe ni msomi ukisema usaliti naamini unaelewa maana yake.....mkipanga kuua watu halafu mwenzenu akaenda kinyume nanyi ni usaliti pia au mkitekeleza mipango miov u dhidi ya nchi then wengine wakakataa ni usaliti pia ni vyema mkaweka wazi mmesalitiwa niniChadema hatuwataki wasaliti ndio maana tunawashauri muwawahi kabla tlp hawajawawahi!
Kassumak naala buk...wapi barua kamanda?
Kamanda! Kuhoji barua za kina Zitto imekuwa insanity?Insanity inakusumbua. Useless somebody.
acha dhihaka na kejeli wewe lete copy ya barua hapa msitumike kama plastaMwambie mumeo zzk akupe copy.... Ujue nashangaa kwanini hili amelifanya kimya kimya bila kukushirikisha eeh!
wasaliti wa maslahi yapi?? kama wewe ni msomi ukisema usaliti naamini unaelewa maana yake.....mkipanga kuua watu halafu mwenzenu akaenda kinyume nanyi ni usaliti pia au mkitekeleza mipango miov u dhidi ya nchi then wengine wakakataa ni usaliti pia ni vyema mkaweka wazi mmesalitiwa nini
mkuu utaomba mpaka kesho hawana hao wanajaribu kufukia mashimo hakika wamepatikanaKassumak naala buk...wapi barua kamanda?
acha dhihaka na kejeli wewe lete copy ya barua hapa msitumike kama plasta