Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Give me a break Mungi.

Huyu Jamaa alilipiwa ada ya chuo na Mbowe?? Ee Mungu Tuhurumie!

Kwa hiyo shukrani yake anamlipa Mbowe ni kumuanzishia Uasi?

Masikini ya Mungu.Kumbe Mbowe anatukanwa matusi yote na mtu aliyemlea kama mdogo wake!

Kha ha ha ha ha haaaaaa!

Hakuna kitu kibaya kama usaliti Mkuu!
Loh! Hili la leo sijamini bado! Haijaniingia akilini bado!

Copy kwa Mungi yegella
 
Last edited by a moderator:
Hon. Peter Msigwa Stated.

"@Zitto ni sawa na Mama mjamzito anayebeba mimba kwa miezi 9 na kuvumilia mateso mengi lakin baada ya kujifungua anaamua kumuuwa mtoto, hivyo kwa mtu kama huyo ni kukamata haraka na kuweka ndani"
 
Kha ha ha ha ha haaaaaa!

Hakuna kitu kibaya kama usaliti Mkuu!
Loh! Hili la leo sijamini bado! Haijaniingia akilini bado!

Copy kwa Mungi yegella

Hujaamini nenda pale ufipa ukapewe umbea kamanda jana uligonga sana viroba au.
 
Last edited by a moderator:
CDM wanamuaminia kibabu.
Ilhali kaisha onesha madhaifu mengi sana kua hafai kua Rais wa nchi.
Kama alishindwa kutii kiapo cha Upadre usishangae hata kiapo cha Urais akashindwa kukitekeleza, Kibabu ni mtu asie na msimamo, alihama CCM, aliacha mke wake.. kwa hayo hafai kua rais

na mtu mwenye hekima na mtulivu chadema hajazaliwa bado
 
huu ni unafiq wenu chadema mnawaonea kwakuwa sio wachaga mnaogopa wakitwaa madaraka ya chama dhumuni la msingi la kuanzishwa kwa chadema halitatimia nawahakikishieni chadema kutwaa dola ya nchi hii haiwezekani kwa vyovyote vile subirini muone
mkuu umeongea na watanzania wangapi?
 
CDM wanamuaminia kibabu.
Ilhali kaisha onesha madhaifu mengi sana kua hafai kua Rais wa nchi.
Kama alishindwa kutii kiapo cha Upadre usishangae hata kiapo cha Urais akashindwa kukitekeleza, Kibabu ni mtu asie na msimamo, alihama CCM, aliacha mke wake.. kwa hayo hafai kua rais

Wewe kama nani mpaka useme hayo? .... Mtatokwa povu sana na bado
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom