Mtu asiyetubu hastahili msamaha. Hata kaburu anaye ua weusi hata leo anashughulikiwa.wasamehewe sasa wajenge chama cha msingi wakumbushane kwa vikao vya siri mmoja anavyokosea tujifunze kutoka kwa mandela alisamehe wliomfunga miaka 27
Ule usemi samaki ana ujanja akiwa ndani ya maji umetimia.
Baada ya kushindwa kukihujumu chama kwa mbinu mbalimbali ikiwemo ya kushambulia mikutano ya Dr Slaa na kutoa matamko ya kipuuzi wakiqatumia viongozi mbalimbali wale wasaliti waliokwapuliwa vyeo vyao ndani chadema na kinachosubiliwa ni kupokonywa uanachama wao Zitto, Kitila na Samson Mwigamba wamejisalimisha jana baada ya kujibu barua waliyotumiwa na kuomba wasamehewe na wasinyang'anywe uanachama kuwa wana mapenzi na chama.
i dont trust hii habari
Kama kweli wanataka msamaha ni vizuri wakasema ukweli wote jinsi CCM ilivyowatumia! Wawe wazi bila kuficha neno!!! Kusema tu wana mapenzi na CDM haitoshi!! Hayo ni mazingaombwe ya mchana kweupe! Wajieleze kwanza kwa umma! Baada ya hapo nguvu ya umma ndiyo itakayowahukumu!!

najua umekuja kufanya biashara humu,kona bar kumekushinda hamna wateja?
Acha porojo na siasa za makengeza weka basi alichosema Zitto tukione.zitto ni wazi amechanganyikiwa kule kajitete halafu anaitisha press anasema anapinga...
Ule usemi samaki ana ujanja akiwa ndani ya maji umetimia.
Baada ya kushindwa kukihujumu chama kwa mbinu mbalimbali ikiwemo ya kushambulia mikutano ya Dr Slaa na kutoa matamko ya kipuuzi wakiqatumia viongozi mbalimbali wale wasaliti waliokwapuliwa vyeo vyao ndani chadema na kinachosubiliwa ni kupokonywa uanachama wao Zitto, Kitila na Samson Mwigamba wamejisalimisha jana baada ya kujibu barua waliyotumiwa na kuomba wasamehewe na wasinyang'anywe uanachama kuwa wana mapenzi na chama.
Unafikiri kama angekua nalo angeacha kuongea!!!!! Kwani CDM ina baya lipi, au hilo la kuwangóa wasaliti chama? Yeye abaki na uanachama wake amalizie fungu lake alilopewa na CCM atulie. Na CCM walivyo watamtema kama Tabwe Hiza.Unafiki wa chadema kwa hiyo kila kitu mnakiweka hadharani?
Hivi akina Zitto wakiamua kuweka kila jambo uchi mtabaki salama?