Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Status
Not open for further replies.
wasamehewe sasa wajenge chama cha msingi wakumbushane kwa vikao vya siri mmoja anavyokosea tujifunze kutoka kwa mandela alisamehe wliomfunga miaka 27
 
Pasco akina ZZK na kundi lake bado wana akili za kuendesha siasa za KIDARUSO DARUSO kitilamkumbo alikuwa Raisi DARUSO na Baadae ZZK naye akawa kiongozi akiwa na akina Msando.Nakumbuka wakati wa mgomo wa 2004 kupinga Muswada wa HELSB usiku pale Mabibo Hostel huyu Msando alileta kero sana wakati wa kujadili hatima ya baadae baada ya muswada kupitishwa. Ni watu ambao bado wana endesha siasa za kijima zisizo na malengo ya jamii bali ubinafsi na utoto mwingi.
unapojadili mada fafanua watu tukuelewe vizuri..., unasema Msando alileta kero sana.. fafanua ni kero zipi alileta?
 
Last edited by a moderator:
David kafulila alipiga magoti akalia sana watu wakamrudisha kundini, Zitto na wenzake bado hawajafukuzwa chadema akiomba msamaha itamsaidia kupona kutoka kwenye anguko kubwa lililopo mbele yake
 
Ule usemi samaki ana ujanja akiwa ndani ya maji umetimia.

Baada ya kushindwa kukihujumu chama kwa mbinu mbalimbali ikiwemo ya kushambulia mikutano ya Dr Slaa na kutoa matamko ya kipuuzi wakiqatumia viongozi mbalimbali wale wasaliti waliokwapuliwa vyeo vyao ndani chadema na kinachosubiliwa ni kupokonywa uanachama wao Zitto, Kitila na Samson Mwigamba wamejisalimisha jana baada ya kujibu barua waliyotumiwa na kuomba wasamehewe na wasinyang'anywe uanachama kuwa wana mapenzi na chama.
thibitisha au kaa kimya
 
Mods tunaomba muondoe hii hekaya, tayari tushajua ni uwongo. Zitto kakata rufaa
 
"Mtoto akinyea mkono haukatwi bali unaoshwa" huu ni usemi maarufu sana unaopendwa kutumiwa na wazee wetu. Maana yake ni kuwa anayekosa basi asamehewe, lakini wakati mwingine mikono huwa haiwezi takata hasa kama "mtoto" huyo anajinyea mara kwa mara na dawa hapo ni Kuikata mikono hiyo.
Hawa jamaa hawastahili kusamehewa kwani ni wasaliti. Let them go.....
Umenena hakika home boy;watimuliwe tu
 
Wana BAVICHA tupo imara kuimarisha chama ngazi zote. 2015 kata zote, majimbo yote tunasimamisha wagombea. Harakati kwanza.
 
Nakubaliana na wewe Bocho, hivi Hamad Rashid yuko wapi?

Hamad alibembelezwa sana aache mambo yake lakini akaleta ujuaji.

Siku hizi Hamad Rashid yupo mjini anaendeleza biashara zake. Swala la hawa wa CDM na Hamad is a bit different.
 
Hana lolote, huyu jamaa ni mnafiki tu. kwa sasa anaogopa kuwaudhi mabwanazake waliomtuma lakini pia roho inamuuma kutokana na kuvuliwa nyadhifa zake ndani ya cdm. Lakini huwezisema kuwa hawajui wanaoratibu ghasia dhidi ya ziara ya katibu mkuu.
 
Cdm bhana. Naimamani hata mkipata nchi Siri za Ikulu mtazitoa.
 
Mods tunaomba muondoe hii hekaya, tayari tushajua ni uwongo. Zitto kakata rufaa

Kukata rufaa na kila mstari kaandika apologies kila mstari hahahaaaaaaa........... we kweli umedumaa!!!
 
they are no longer fit for chadema....!nadhan hata wao wanajua hilo!na hawahitaji kulazimisha.

may their souls rest into pieces
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom