Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kuna mahali nimetajea mtu hapa?
Kibabu chenu, ndio maana kilijitegea mtambo wa kunasa sauti kule Dodoma...
Uoni jinsi kilivyo kichocheezi?

Ooh.. Sasa kumbe unajua kuwa chuki, na uchochezi ni mbaya eeh.... Ulikuwa wapi hujamshauri zzk?
 
Mkuu ajabu zaidi eti hayo ndio majembe ya CCM yaliyopewa jukumu la kujibu hoja mitandaoni.
ndio sisi majembe coz katika members laki na ushei wa jf ni sisi tu ndo tunazitwanya hoja za bavicha walipo zaidi ya laki huoni ni majembe?
 
CDM wanamuaminia kibabu.
Ilhali kaisha onesha madhaifu mengi sana kua hafai kua Rais wa nchi.
Kama alishindwa kutii kiapo cha Upadre usishangae hata kiapo cha Urais akashindwa kukitekeleza, Kibabu ni mtu asie na msimamo, alihama CCM, aliacha mke wake.. kwa hayo hafai kua rais

Kiapo cha upadri alikula ye na mamako?
 
Mie kama mwananchi.
Katika nchi zilizo endelea Kibabu hafai.
Skendo ya mapenzi inatosha kukunyima sifa ya kua kiongozi wa nchi.

Kwe kwe kwe kwe ..... Unatia huruma.... Huna hata hoja ya maana... Huo wimbo wa mapenzi ulishachuja zamani sana... Huna mwingine?
 
ndio sisi majembe coz katika members laki na ushei wa jf ni sisi tu ndo tunazitwanya hoja za bavicha walipo zaidi ya laki huoni ni majembe?

Kama nyie majembe alafu mpini ni nani anayewachomekea?
 
nitawaomba Moderator tuanzishe thread tutukanane ili ulizike???? lakini humu ni juu ya baratua????? ya msamaha wa zitto na uamz????i wa cc kama imfueke???? mazima au umwachie uanachama.

Jaribu kushirikisha ubongo wakati unaPost.... Angalia sehemu zenye ???..
 
Last edited by a moderator:
Kwe kwe kwe kwe ..... Unatia huruma.... Huna hata hoja ya maana... Huo wimbo wa mapenzi ulishachuja zamani sana... Huna mwingine?
binti tulia chini usome unaoshindana nao humu wamemaliza vidato siku nyiiingi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom