Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

Status
Not open for further replies.
"Ni heri simba 100 walioko nje kuliko nyoka mmoja mdogo aliyeko ndani" by Hon. G. Lema
 
Inauma kushushuliwa heee, ndio mkome kudanganya. Sasa wewe nawe unajiona CDM, sisi ndio tupo hapa nyie endeleeni kujidanganya kwenye JF!

Ha ha ha ha h.... Unaota eeh..... Pole wewe ... Ungejuaaaaaaah wala usingekuja na huu umbea wa wazi hapa! Endelea kujidanganya wewe na hao magamba wenzio ila nna hakika ukweli unaujua! Ngumu kumeza... Jitaidi
 
Lkn hata akisamehewa bado atakuwa na wakati mgumu kwani ashashtukiwa kuwa ni msaliti hivyo ushirikiano kutoka kwa wengine utakuwa mdogo jambo ambalo si zuri ktk ustawi wa chama, ni mtazamo wangu tu bandugu....
 
If you cant defeat them, join them! Kwani shida iko wapi? Omba radhi and move on!
 
Mkuu mbona tupo kwenye mjadala wa kawaida mkuu, kwanini unajiona bora, alafu binadamu wenzako walioumbwa na Mungu unaemuamini unawaona takataka??

Sawa mkuu wewe una hadhi sana mkuu. ila ajikwezae atashushwa.

Maccm wengi akili zao zimedumaa. wewe ni mmojawapo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom