mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,039
Na wewe kuchangia hapa tayari upo katika ligi hiyo ya ujuha tayari
ha ha ha bora umelijua hilo juha mwenzangu
Na wewe kuchangia hapa tayari upo katika ligi hiyo ya ujuha tayari
Zitto na Kitila hawawezi kuomba msamaha hizi ni porojo za kawaida kutoka Bavicha.
hili suala ni la kamati kuu wewe huna mamlaka ku decide watu wafikirie nini au kujaribu kuwa convince dudeKwa matamshi yako hapa inaonyesha unaweza zaidi mchezo wa cheusi chekundu,ubishi na ugomvi wa Baa zaidi.
Watu wajinga sana,Swala Dennis Msaki na Lwakatare,Liko wazi hata ukiiangalia ile Video youtube CDM inapanga Ugaidi,Watu wanasubiri mwakani wapewe FBI wathibitishe video ya kweli,ili muchinjiwe Baharini,ili USA na ULAYA wajue CDM Magaidi.kwa kuwa WATZ wamewajuwa na miishio yao CDM Mwakani.
mimi naona ni ujuha ku discuss kitu ambacho hatujui wamejibu na ku demand
Unafiki wa chadema kwa hiyo kila kitu mnakiweka hadharani?
Hivi akina Zitto wakiamua kuweka kila jambo uchi mtabaki salama?
Hajui wengine wamezaliwa na kukulia humohumo?Ukuu wa katiba unapotumika watu wanaanza ooh unajua nilijiunga nikiwa na miaka 16 .Who cares?
hili suala ni la kamati kuu wewe huna mamlaka ku decide watu wafikirie nini au kujaribu kuwa convince dude
Wawekwe under probation kwa mwaka mmoja. Katika kipindi hicho wasiruhusiwe kugombea nafasi yeyote ndani ya chama, kuitisha wala kushiriki mkutano wowote wa ndani wa chama, au mkutano wowote unaowahusu wanachadema. Halikadhalika wamtaje MM2 ni nani, na wawataje washiriki wengine wa ule mtandao, ambao nao eventually watawekwa kwenye probation ya mwaka mmoja endapo wataomba radhi...
Ngumu kumeza eeh!..... Naona unatokwa povu kama umemeza mche wa mshindi, pole weye
People tend to be generous when sharing their nonsense, fear, and ignorance. (Steve Maraboli).
Mkuu mbona thread zipo nyingi?Kwa nini uje huku kwenye ujuha kama na wewe sio juha?
Ngumu kumeza eeh!..... Naona unatokwa povu kama umemeza mche wa mshindi, pole weye
Kama kweli wanataka msamaha ni vizuri wakasema ukweli wote jinsi CCM ilivyowatumia! Wawe wazi bila kuficha neno!!! Kusema tu wana mapenzi na CDM haitoshi!! Hayo ni mazingaombwe ya mchana kweupe! Wajieleze kwanza kwa umma! Baada ya hapo nguvu ya umma ndiyo itakayowahukumu!!
Ni kweli kuomba msamaha ni kitendo cha ungwana upo wapi huo msamaha?Kuomba msamaha ni ushara ya uungwana. Nilitarajia ungempongeza Zitto angalau kwa kujitutumua kuomba radhi badala ya kumkejeli na kuikejeli chadema. Zitto ameshapia kina cha maji. Anajua nje ya chadema Zitto ni galasa. Anajua pamoja na matamko ya wahuni bado watanzania wana imani na chadema.
Zitto anatambua kuwa wengi waliokua wanamuunga mkono hawapo naye. Anajua hata wana ccm wameanza kumkimbia. Anapoutazama mwisho wake anaona handaki zito la kisiasa mbele yake. Ni kichaa tu atakayeacha kuomba radhi...Waliompa kiburi wamemtelekeza kama walivyotelekezwa madiwani wa Arusha.
Zitto kwisha habari yake....!