Unafiki wa chadema kwa hiyo kila kitu mnakiweka hadharani?
Hivi akina Zitto wakiamua kuweka kila jambo uchi mtabaki salama?
wana nini la kuweka uchi, zaidi ya waraka wao? labda wawekwe wenyewe uchi
Unafiki wa chadema kwa hiyo kila kitu mnakiweka hadharani?
Hivi akina Zitto wakiamua kuweka kila jambo uchi mtabaki salama?
Acha kujifundisha ujinga wewe!!!
Kuropoka kote kwenye media waliacha nini? hawakupata tuhuma dhidi ya uongozi uliopo ndiyo maana wamesaidiwa na ccm kuunda uwongo!!
Kama Zitto mjanja wakati anasema chama hiki kimemtoa mbali angeongezea kuwa hata ada za chuo alilipiwa na Mbowe!
Zitto kwa usaliti wote ule akosamehewa nitawashangaa sana chadema
Ukuu wa katiba unapotumika watu wanaanza ooh unajua nilijiunga nikiwa na miaka 16 .Who cares?
Hili ndio tatizo kubwa la Chadema, hakuna nidhamu ktk ofisi pale HQ, Nyaraka za kiofisi maelezo yake yanawekwa mtandaoni. Kila anayekiona kitu ofisini saa hiyohiyo anajifanya mjanja wa kuwahi kubandika mtandaoni na viongozi hawaoni madhara yake. Hakuna siri kila mtu ni msemaji wa Chama. Maana yake record ofice ya chama ina makanjanja wasio na ethics. ndio maana siri nyingi za chama zinavuja.
kutuma barua za kujibu tuhuma haina maana kuwa wamekiri walifanya makosa,usikute wamekanusha..ngoja tusubiri hiyo press yao.Aisee..!!
Hii kweli ni Breaking News.Sasa kutapatapa kote huko na kuitisha mikutano inayofadhiliwa na CCM mwisho wake ni kuomba Radhi?
Chezeya Chadema weye?
Zitto asipofukuzwa nitasikitika sana.............. Unless akiri usaliti wake wote alioufanya ikiwemo kupoteza maisha ya watu, alivyoshiriki kuunda uhuni dhidi ya Lwakatare kwa kumtengeneza Dennis Msaki na Ludovic kama karata ya ushindi nk.
Msamaha unaendana na malipizi!! Lazima kwanza waueleze umma jinsi walivyotumika kuivuruga CDM bila kuficha!!! Baada ya hapo ndio nguvu ya umma itatoa hukumu!Kama kweli wamekili kosa wasamehewe
Hamuwezi kumfukuza nyinyi Wachaga,Na me naombea mumfukuze tuwe na ya kusema,wakanda wakubwa kudadadeki!!!Chama kinaniuma hiki ningekuwa na uwezo ningekifuta.Yan kila kitu wao Ukabila ,Ukanda ,Udini,Ulaghai.
hatumwachi..
Give me a break Mungi.
Huyu Jamaa alilipiwa ada ya chuo na Mbowe?? Ee Mungu Tuhurumie!
Kwa hiyo shukrani yake anamlipa Mbowe ni kumuanzishia Uasi?
Masikini ya Mungu.Kumbe Mbowe anatukanwa matusi yote na mtu aliyemlea kama mdogo wake!
Hili ndio tatizo kubwa la Chadema, hakuna nidhamu ktk ofisi pale HQ, Nyaraka za kiofisi maelezo yake yanawekwa mtandaoni. Kila anayekiona kitu ofisini saa hiyohiyo anajifanya mjanja wa kuwahi kubandika mtandaoni na viongozi hawaoni madhara yake. Hakuna siri kila mtu ni msemaji wa Chama. Maana yake record ofice ya chama ina makanjanja wasio na ethics. ndio maana siri nyingi za chama zinavuja.
Aisee..!!
Hii kweli ni Breaking News.Sasa kutapatapa kote huko na kuitisha mikutano inayofadhiliwa na CCM mwisho wake ni kuomba Radhi?
Chezeya Chadema weye?
ule usemi samaki anaujaja akiwa ndani ya maji umetimia.. Baada ya kushindwa kukihujumu chama kwa mbinu mbalimbali ikiwemo ya kushambulia mikutano ya Dr Slaa na kutoa matamko ya kipuuzi wakiqatumia viongozi mbalimbali wale wasaliti waliokwapuliwa vyeo vyao ndani chadema na kinachosubiliwa ni kupokonywa uanachama wao Zitto, Kitila na Samson Mwigamba wamejisalimisha jana baada ya kujibu barua waliyotumia na kuomba wasamehewa wasinyang'anywe uanachama kuwa wanamapenzi na chama..
hata madiwani waliamini wananguvu kuliko chama..Acha kujifundisha ujinga wewe!!!
Kuropoka kote kwenye media waliacha nini? hawakupata tuhuma dhidi ya uongozi uliopo ndiyo maana wamesaidiwa na ccm kuunda uwongo!!
Kama Zitto mjanja wakati anasema chama hiki kimemtoa mbali angeongezea kuwa hata ada za chuo alilipiwa na Mbowe!
Zitto kwa usaliti wote ule akosamehewa nitawashangaa sana chadema
Acha kujifundisha ujinga wewe!!!
Kuropoka kote kwenye media waliacha nini? hawakupata tuhuma dhidi ya uongozi uliopo ndiyo maana wamesaidiwa na ccm kuunda uwongo!!
Kama Zitto mjanja wakati anasema chama hiki kimemtoa mbali angeongezea kuwa hata ada za chuo alilipiwa na Mbowe!
Zitto kwa usaliti wote ule akosamehewa nitawashangaa sana chadema
i dont trust hii habari
Chochea kuni vibaya sanaaaaa chochea kuni weweee
Sarakasi za chadema season 2 eps 11