Zitto ana agenda yake ya siriBado najiuliza zitto kwa nini anakomaa kusema mbowe aombewe msamaha na si kulaumu waliompa kesi? Au zitto anaamini mbowe ni gaidi?
Kama anajikuna mkono kuweka saa sawa hivi ,daaaa
Mwigamba kusho mbowe kawekwa Kati hata haelewi Ila jamani akina mmm
Zitto aisee kama issue ni kumuombea msamaha Mbowe ili aweze kutoka sio sahihi mbona kuna wafungwa wengi tu wa makosa ya ugaidi wako jela kwanini hatuwaombei msamaha kwenye mamlaka husika ili wasamehewe wakaungane na familia zao.Kama ana hatia wacha ahukumiwe then akitumikia kifungo Rais akiona kuna umuhimu wa kumsamehe atamsamehe kusiwe na double standard wote ni watanzania tuna haki sawa.kuna magaidi wako gereza la kisongo huu mwaka wa 10 kama sikosei anza na hao kiongozi mkuu kuwaombea msamaha ili waungane na familia zao au hao sio kaka zako kama Mbowe.Acha siasa mkuu.Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela
Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!
Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?
My opinion!
Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!
Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?
Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?
Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?
View attachment 2110118
Zitto ni mnafiki na shetani mkubwa, CHADEMA wanazo mpaka taarifa za Zitto akichonga na maafisa wa serikali kuhakisha kesi inayomkabili Mbowe iishie kwa Mbowe kufungwa kimahakama.
Inakuhusuvipi? Mbowe mwenyewe anaweza kuwalipa. Chadema wanaweza kuwalipa, na sisi wakereketwa wa KATIBA MPYA tunaweza kuchanga hizo gharama.Hao mawakili wanaomtetea mbwe nani anawalipa.
Zitto aisee kama issue ni kumuombea msamaha Mbowe ili aweze kutoka sio sahihi mbona kuna wafungwa wengi tu wa makosa ya ugaidi wako jela kwanini hatuwaombei msamaha kwenye mamlaka husika ili wasamehewe wakaungane na familia zao.Kama ana hatia wacha ahukumiwe then akitumikia kifungo Rais akiona kuna umuhimu wa kumsamehe atamsamehe kusiwe na double standard wote ni watanzania tuna haki sawa.kuna magaidi wako gereza la kisongo huu mwaka wa 10 kama sikosei anza na hao kiongozi mkuu kuwaombea msamaha ili waungane na familia zao au hao sio kaka zako kama Mbowe.Acha siasa mkuu.
YEYE AMEFANYA juhudi gani binafsi za (KUONDOA UKURUTU USONI) MWAKE ???
Jahazi kuzama si jambo la ajabu kwani kuna kiwango cha judiciary kuwa compromised.LAKINI ikiwa kweli Mbowe alifanya ugaidi ni halali yake kufungwa.Kuna jambo moja nina uhakika nalo..wengi wanamzungumzia ZZK kiushabiki....Zitto anajua kijacho! Anajaribu kunusuru jahazi..unfortunately hapewi support! Muda ni daktari mzuri sana!
Hii ni hoja muafaka.Kwani Rais anaruhusiwa kuingilia uhuru wa mahakama? Au hao chadema wana ruhusa ya kuingilia uhuru wa mahakama?
Labda kuna ambalo hatulifahamu na ingekua vizuri kama bwana Zitto angetufahamisha