Zitto Kabwe: Wahariri waulizeni CHADEMA wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe jela

Zitto ni mnafiki na shetani mkubwa, CHADEMA wanazo mpaka taarifa za Zitto akichonga na maafisa wa serikali kuhakisha kesi inayomkabili Mbowe iishie kwa Mbowe kufungwa kimahakama. Ushahidi upo.

Pia Zitto aache uongo, Mbowe hajamtuma mtu mwingine yoyote kumtafutia msamaha wa kutoka jela. Mambo yote ya Mbowe yanasemewa na yeye mwenyewe Mbowe, Familia yake, Viongozi wa Chadema au Mawakili wake, na wote hao wamekuwa na msimamo unaofanana.

Zitto aiche Chadema na mambo yake, aendelee na siasa zake za kuilamba viatu CCM na serikali ya Mama Samia.
We ni mchaga bila shaka?na hapa ni mbege ndio zinakuongoza
 
Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela

Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!

Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?

My opinion!

Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!

Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?

Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?

Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?

View attachment 2110118
YEYE AMEFANYA juhudi gani binafsi za (KUONDOA UKURUTU USONI) MWAKE ???🤣🙄😶
 
Zitto ni mnafiki na shetani mkubwa, CHADEMA wanazo mpaka taarifa za Zitto akichonga na maafisa wa serikali kuhakisha kesi inayomkabili Mbowe iishie kwa Mbowe kufungwa kimahakama. Ushahidi upo.

Pia Zitto aache uongo, Mbowe hajamtuma mtu mwingine yoyote kumtafutia msamaha wa kutoka jela. Mambo yote ya Mbowe yanasemewa na yeye mwenyewe Mbowe, Familia yake, Viongozi wa Chadema au Mawakili wake, na wote hao wamekuwa na msimamo unaofanana.

Zitto aiche Chadema na mambo yake, aendelee na siasa zake za kuilamba viatu CCM na serikali ya Mama Samia.
I am ur big fan

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kuna Spika alihijo mambo ya msingi lakini baadae akaomba radhi yakamkuta yaliyomkuta tena mbele ya hadhara, kama CDM na Mbowe wanajua hakuna hatia unaomba msamaha wa nini, kwamba Mbowe kashindwa kuwaambia wanasheria wake waombe msamaha mpaka amtume Zitto?
 
Zitto hajaanza kuwa shushushu la CCM leo🐒🐒🐒
16441360102380.jpg
Q2Dg.jpg
 
Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela

Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!

Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?

My opinion!

Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!

Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?

Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?

Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?

View attachment 2110118
Apeleke tu unafiki wake kule. Yeye anataka avujishiwe mikakati ili afanye nini? Yeye si asubiri aone kama mbowe atatoka au hatoki?
 
Zitto ni mnafiki na shetani mkubwa, CHADEMA wanazo mpaka taarifa za Zitto akichonga na maafisa wa serikali kuhakisha kesi inayomkabili Mbowe iishie kwa Mbowe kufungwa kimahakama. Ushahidi upo.

Pia Zitto aache uongo, Mbowe hajamtuma mtu mwingine yoyote kumtafutia msamaha wa kutoka jela. Mambo yote ya Mbowe yanasemewa na yeye mwenyewe Mbowe, Familia yake, Viongozi wa Chadema au Mawakili wake, na wote hao wamekuwa na msimamo unaofanana.

Zitto aiche Chadema na mambo yake, aendelee na siasa zake za kuilamba viatu CCM na serikali ya Mama Samia.
Aisee hili lipo kweli kama ulivyosema?

Basi huyu jamaa ni bonge la snitch asiyefaa kuwa karibu na watu
 
Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela

Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!

Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?

My opinion!

Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!

Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?

Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?

Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?

View attachment 2110118
Sisi chadema tunataka mbowe akae jela hadi siku tukishinda kesi,, hatuna haraka hata kesi ikichukua miaka 10,sawa tu
 
Kwani Rais anaruhusiwa kuingilia uhuru wa mahakama? Au hao chadema wana ruhusa ya kuingilia uhuru wa mahakama?

Labda kuna ambalo hatulifahamu na ingekua vizuri kama bwana Zitto angetufahamisha
Huu ujinga hata Nelson mandela sijui kwanini alimkubalia kufanya maxungumzo na serikali aachiwe baada ya kufungwa jela,
Ilitakiwa mandela ashjkilie msimamo wake na abaki gerezani hata kwa miaka 200..
 
Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela

Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!

Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?

My opinion!

Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!

Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?

Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?

Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?

View attachment 2110118
Nadhani yeye binafsi ni mfuasi wa rais Samia.
 
Zitto anatafuta umaarufu kupitia jina la mbowe.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kosa la Zitto anachukulia masuala ya nchi aidha kidini sana au anayachukulia kijamii Sana. Anavyoongea ni wazi anakaa na waliomweka Mbowe ndani na wanampa masharti na kwa anavyoongea ni wazi yeye anajua kwamba Mbowe siyo Gaidi na amewekwa ndani Kwa sababu za kisiasa.

Ambacho Zitto ajajiuliza ni kwamba" akitoka Mbowe Kwa utaratibu huu anaotaka aoni kama Kesho atakamatwa Lisu ataitwa Gaidi watakaa na kusolve then keshokutwa atakamatwa Mbatia then. Itaendelea hivyo?

Kwanini Zito anaogopa kuwakemea wanaomtuma?Mbona enzi ya JPM akuwa hivi? Nini kimetokea ndani ya CCM anachoamini ni kizuri Kwa Mbowe?
 
Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela

Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!

Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?

My opinion!

Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!

Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?

Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?

Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?

View attachment 2110118
Mara pap, Mbowe anasujudu mbele ya Mfalme, nimekosa mimi nimekosa sana ee mfalme nihurumie.
Mfalme ananyanyuka na kutoa rai, ondoka mbele ya macho yangu ewe gaidi mahali pekee unapostahili ni jera.
Hebu fikiria watanzania watamuonaje mbowe? Maana ili uombe msamaha unapaswa kukiri makosa yako, kama alivyo fanya Ndungai.
ajiulize kwanza yaliyompata ndungai ndio aje atuambie, kama nia ni nzuri kwa nini sharti liwe mbowe kuomba msamaha? Si ilitosha tu yeye kumuombea msamaha siku hiyohiyo mama angeelekeza utaratibu ufanyike mambo yakaisha.
Wabongo wa sasa sio wakudanganywa kitoto hivyo, kama Mbowe anataka kifo cha ghafra cha kisiasa ajaribu kuomba msamaha.
 
Zitto ni mnafiki na shetani mkubwa, CHADEMA wanazo mpaka taarifa za Zitto akichonga na maafisa wa serikali kuhakisha kesi inayomkabili Mbowe iishie kwa Mbowe kufungwa kimahakama. Ushahidi upo.
Mkuu acha kumzushia Zitto uongo....huku ni kumchonganisha na wafuasi wa CDM.
 
Back
Top Bottom