kweli ni ujinga kutaka kuunga mkono, hawa wabakaji, Baada ya kuona ushahidi Mahakama zote hapa nchini, Mahakama ya Afrika Mashariki na Hata Mahakama ya Africa, zimekubali kuwa Hukumu iliyotolewa ni stahiki.apambane na Hali ya chama chake ndo kinakufa hivi,
Sasa sijui Ndugu, kati ya hao watoto, sijui mmoja wao angekuwa mwanao, mdogo wako au Mpwa wako, leo ungejionaje. Mbona hatuulizii hali ya wale watoto ama leo wanajisikiaje kusikia Mbakaji aliye wahariba maisha yuko huru , tena anasherehekewa na watu kama wewe.