mchukiaufisadi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 546
- 193
Hakubaliki kwa sababu aligombea uenyekiti wa chadema taifa2009 na kumpinga mkurugenzi wa chagga development manifestal na pia anahoji kwa nini chama kinaendeshwa kikampuni zaidi mpaka uwe mchaga ndo unatapa nafasi
Acha ukabila wewe! Jina zuri mawazo ya ki-ukabila. ZZK ni makamu, je ni mchaga? Silaa ni Mchaga?