kweli Zzk ni disaster na hafai kuaminiwa.
Mimi sioni kama kwenda na mheshimiwa Rais kama ni tatizo,ila kwa nini hiyo fursa ya kuongozana na mkubwa apewe zitto peke yake kila time kwa upande wa CDM?!!!!!!!!!! Na zitto kihistoria "alishajinyea" baada ya kuwapinga wenzake hadharani wakipigania upatikanaji wa katiba mpya. Zitto ni mmoja wa wanasiasa wanaofanya zile siasa alizosema Rostam Aziz.