Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

ndo mkombozi mnayemfagilia kila kukicha, yaani hata akijisaidia njiani mtasema zoa kwa sababu anatoka kanda ya kasakzi. isitoshe Zitto ana busara hata ya kuyaendea mambo, watu wanaleta ushabiki tu wa kumusakama zitto eti kwa sababu ana dhamira ya kugombea urais hicho tu ndo kinachowatoa roho cdm na sio kingine, kwa sababu mnataka mchaga na familia yake yote watawale nchi ila sio kabila lingine kama zitto, kwa taarifa yenu kumjadili sana zito ndo mnampa chati zaid na nyie kujishushia hadhi.

hata mie naona hivo hivo hiki ni chama cha kidemocrasia, lakini hakikubaliani na demokrasia. hakuna haja ya kumsakama mtu anayetumia haki yake ya kidemocrasia
 
Jadilini kwa hoja na xio ghiriba na chuki,hayo mambo ya kuongozana na rais yapo kiprotocal na rais anaongozana na wapinzani na inategemea nafas ya mbunge huyo kuna shughuli gan inafanzika hayo maswali muulze MREMA anayeshughulika na masuala ya bunge atakupa majibu,na kwenda kwake ni baraka kutoka chama chake.Achen kuwa wabaguzi hivyo na ZITTO ni mwanachadema anayejali maslahi ya taifa na xio wengne wanajali chama chao kinachowaingizia pesa na xio watanzania na mkumbuke hakuna mwanachadema mwenye sura ya kitaifa kama ZITTO,POLEN SANA KWA KUTESWA NA UBAGUZI
 
Wakuu heshima mbele,
Hoja ya Zitto kuwakilisha Upinzani ina mashiko lakini hoja nyingine inaibuka ni nani amemtua kuwakilisha upinzani? Maana tunavyojua ki Protocal ilipaswa Ikulu iiombe ofisi ya Spika Mbunge mmoja kutoka kambi ya Upinzani ashiriki kwenye msiba kwa niaba ya upinzani. Hata hivyo, Spika nae asingekuwa na mandate ya kuteua Mwakilishi kutoka kambi ya Upinzani. Ilipaswa ashushe dokezi chini hadi kwenye Ofisi ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani ndiye ateue Mbunge wa Kuwakilisha.

Sasa kama Jina la Zitto limetoka moja kwa moja kutoka Ikulu lazima watu wahoji. Kunani Zitto? Kwa nini asiwe Lissu au Nassari au Silinde au Wenje nk? Je uteuzi wa Zitto kwenda Ethiopia ulikuwa na baraka za Ofisi ya Spika na Kiongozi wa Upinzani? Haya ndiyo maswali ya kujiuliza, Mimi, wewe na wengine.

TUMBIRI (PhD in Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Overall Best Student in Form Six National Exams)

tumbiri@jamiiforums.com

Mkuu TUMBIRI tutajuaje manake wote tunabashiri tu. Bahati mbaya Spika ama KUB hajajitokeza na kukanusha kumteua!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu TUMBIRI, nashukuru kwa kutufahamisha protocols kuhusu uwakilishi wa upinzani.

Quote yangu hiyo hapo juu inahusu hiyo signecha yako; mbona hukuweka Form 4, na darasa la saba? Nimejaribu kuona ambavyo signecha yangu ingekuwa iwapo ningefuata format yako, nikaona watu wasingeweza kunielewa.

Kichuguu

Executive MBA (in progress, expected in May 2013); P.E; MIEEE; MIET: Ph.D (Physics); Ph.D.(Engineering); M.S. (Math), M.Eng.Sc; B.Sc(Eng); Certificate of Service (JKT); Advanced Certificate of Secondary Education (PCM-Form 6); Certificate of Secondary Education (Form 4); Primary School Leaving Certificate (Std 7);

Mkuu Kichuguu big up Mkuu wangu. Kwa vyeti naona sikuwezi kabisa Kaka. Mimi Form Four nilimaliza Kibaha High School. Nilikuwa mwanafunzi wa tatu kitaifa kwenye matokeo ya Form Four ambayo yalinipeleka kusoma Mzumbe kidato cha tano na sita. Primary nilimaliza pale Mugabe, Sinza.

TUMBIRI (PhD, HULL University, HULL City - United Kingdom),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
Mkuu TUMBIRI tutajuaje manake wote tunabashiri tu. Bahati mbaya Spika ama KUB hajajitokeza na kukanusha kumteua!
Kimbunga,
Hicho ndicho kitendawili kinachopaswa kiteguliwe. Speeker na KUB inapaswa watueleze kama safari ya Zitto kwenda Ethiopia ilikuwa na baraka zao. Vingenevyo watu wataendelea kuhisi Zitto amefanya lobbing ya safari na hivyo hana hulali wa kuuwakilisha upinzani.

TUMBIRI (PhD, HULL University, HULL City - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Hujui kama Mhe. Zitto ni waziri wa Serikali kivuli. Yuko kwenye msafara wa Mhe Raisi kwa baraka za wananchi kama mbunge na waziri kivuli kupitia mihimili ya nchi.

Tatizo ni kuwa, kila jambo mnafikilia siasa siasa tu.

Mkuu, ungekuwa na upeo mkubwa wa kuelewa siasa usingejibu kirahisi hivi. Ni waziri kivuli kwa serkali ipi kivuli? inayoongozwa na nani au chama gani?

kwa uelewa wako kama angekuwa waziri kamili wa serikali inayotawala angeweza kujiamulia msafara kama huo bila kibali cha wakuu wake?!!!
Soma tena swali hili na kisha uje na jibu lenye mantiki "amekwenda kwa baraka za nani? Bunge, Serikali, CDM, Jimbo lake au binafsi?"
 
WAKUU!

Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu Addis na Mkulu.

Makamanda, hii ime kaa je? wakati Makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa waTanzania huyu Mh. mbona yupo beneti na Magogoni sana?

Ni kuuliza tu Makamanda.

Haka kajamaa ni kapumbavu kwel hakafai ndumila kuwil mzee wa double standard
 
Nakubaliana na wewe Radhia huyu jamaa ni MOLE [ Ndumila kuwili au kwa jina limgine KIKULACHO!!] wa ccm humo Chadema, the sooner he is flushed out the better!!

***** hata m4c ya jangwani hakakuwepo
 
wana forum tuwe na tafakuri za kina. viongozi wa vyama vya kisiasa ni viongozi wa kitaifa. licha ya tofauti za kisiasa, wanafaa kuheshimiwa na wanasiasa wote.

siasa siyo uadui. miezi miwili iliopita, lissu alikwenda na msafara wa spika ktk nchi za korea, japan........
prof kahigi alisafiri na jk pia. zitto kaenda na jk kwa mwaliko kutoka ikulu wakiwaandikia chdm kutoa muwakilishi atakae ungana na msafari wa rais kwenda ethiopia kuhudhuria maziko ya zanawi. zitto hajadandia msafara. ana baraka zote za chdm. msidhani mtu hujiunga na msafara bila ya mawasiliano ya awali kutoka ikulu na chama husika.

ukiangalia hiyo picha, utaona yupo pia haroun suleiman kutoka serikali ya znz, yupo lusinde wa ccm nk........

tuwe waungwana. zitto ninaemjua na uzalendo wa hali ya juu. sera yake ni TANZANIA KWANZA VYAMA BAADAYE. KWA WENGINE chama kwanza tanzania baadaye. hii ndiyo sababu inayomfanya zitto watu wengi wasimuelewe.

tutumie bongo zetu kujenga hoja siyo kufuata mkumbo!!!!!!!!!!!

Mkuu Wakuziba!

Asante kwa ufafanuzi! Katika hoja yangu, zaidi niliegemea katika kuuliza. Kwa vile umenielewesha (kama ndivyo), hapa sina tatizo kwani umenipatia jibu. Vinginevyo Mh. Zitto unisamehe kama umekwazika katika hili. Peopleeeeeeeeeeeees' Poweeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tatizo watu wa JF wanataman kila zitto anachofanya awaambie hapa Jukwaani.
 
Mkuu Kichuguu big up Mkuu wangu. Kwa vyeti naona sikuwezi kabisa Kaka. Mimi Form Four nilimaliza Kibaha High School. Nilikuwa mwanafunzi wa tatu kitaifa kwenye matokeo ya Form Four ambayo yalinipeleka kusoma Mzumbe kidato cha tano na sita. Primary nilimaliza pale Mugabe, Sinza.

TUMBIRI (PhD, HULL University, HULL City - United Kingdom),

tumbiri@jamiiforums.com

Wanasoma humu watatujibu. Lakini kwa kuwa Zitto ni Naibu Katibu Mkuu wa CDM basi msemaji wa CDM ndugu Tumaini Makene atusaidie katika hilo. Molemo hii ya Zitto kwenda Addis na mkuu kufuatia ile ya Sudan Kusini imekaaje?
 
Last edited by a moderator:
amini usiamini, tunzeni huu uzi wangu, huyu jamaa anaandaliwa kitu na mkulu, kama mnakumbuka walikwenda naye South Sudan na mkulu akatamka kwamba anataka kurithiwa na Rais kijana, taarifa ya Ikulu kukataa nyongeza ya posho za wabunge, zitto alikua nayo kuliko hata spika mwenyewe
 
zitto kabwe ni kama john shibuda...!time will eliminate them because they are "traitors" aka "Yuda"!
 
Zitto ni disaster na ninashangaa watu ambao mnatoa povu kumtetea huyu gaidi wa ukombozi, huyo jamaa ni puppet leader, mfatilieni kwa makini mambo yake ndio mtagundua, huyu jamaa kama aliweza kumpigia kampeni Jk badala ya Dr.slaa 2010, je anashindwa nn kukisaliti chama? THINK BIG magreat thinkers huyu jamaaa hafai na sisi hatutacha kumchana live hata siku 1.

Nako huku upo? Unajua dr slaa alipata kura ngapi kigoma kaskazini?na je unajua dr slaa alipata kura ngapi jimbo la hai kwa mh mbowe?kwa maana hiyo unataka kuniambia kwamba mbowe hakumpigia kampeni slaa maana alipata kura chache sana ukilinganisha na alizopata kigoma kwa zitto,acha uchonganishi wako wa kijinga,sijawahi kukuona hata siku moja umeongea hoja ya msingi zaidi ya majungu na chuki binafsi.changes are necessary!
 
Mkuu, wewe ndiyo unatumia jicho moja kuchanganua siasa. Kwanza tu nikuambia katika nchi za demokrasia, Rais ni institution. Naomba pia ujue, Rais hajipangii safari. Kuna kitengo katika serikali kinachofanya hayo maandalizi na utaratibu wa safari ya Rais. Protocali inatumika katika uchanganuzi wa msafara wa Raisi. Ofisi ya bunge inajulishwa kwa maana kuwa serikali kivuli pia inajulishwa. Kama kuna haja ya baadhi ya wabunge kuambatana na Raisi kulingana na ujumbe wa kamati za bunge, basi ofisi ya spika hufanya utaratibu na maandalizi ya hao wabunge. Ndiyo maana kwenye Msafara huu kulikuwa pia na wabunge wengine kutoka vyama vingine.NB:
Mbunge hahitaji baraka ya chama kwenye shughuli za bunge.


Mkuu, ungekuwa na upeo mkubwa wa kuelewa siasa usingejibu kirahisi hivi. Ni waziri kivuli kwa serkali ipi kivuli? inayoongozwa na nani au chama gani?
kwa uelewa wako kama angekuwa waziri kamili wa serikali inayotawala angeweza kujiamulia msafara kama huo bila kibali cha wakuu wake?!!!
Soma tena swali hili na kisha uje na jibu lenye mantiki "amekwenda kwa baraka za nani? Bunge, Serikali, CDM, Jimbo lake au binafsi?"
 
Great thinkers wananifurahisha sana mimi. Siku zote tupende kuongea issues na sio watu jamani. How many things do we have to discuss mpk tuanze kudiscuss watu humu ndani? Ni aibu.
Katika hali ya kawaida kabisa, Zitto ni binadamu, ni kiongozi, ana marafiki ndani na nje ya Nchi, mimi sioni kama yeye kwenda kumzika Meles ni issue sana sio issue at all kwa sababu Meles alikuwa rafiki yake tangu enzi akiwa hai.
Kama issue ni kwenda na Rais, nyie mlitaka akiwa kama kiongozi na kuna delegation ya Serikali asiambatane nayo simple kwa ajili mtamuona ni msaliti?That's very awkward jamani, tuweni serious.
Tundu Lissu alikwenda na Speaker Makinda Japan, mbona hamsemi kitu?
Christina Lissu alikwenda na Rais Australia mbona hamsemi hilo?
Ezekiel Wenje alikwenda na Makamu wa Rais Uturuki, mbona hilo hamjaliongea?
Kila safari Rais anayoenda lazima kuwe na Wabunge, kwa nini hahojiwi?
Yeye ni Kiongozi for Heavenly sake, let's stop hating and let us concentrate on issues that affect our daily lives, let's focus on productive issues and not minor issues, let us grow up... Tusipende kutumika ili kuleta chuki within us, tuweni wamoja jamani, mambo mengine tuwe reasonable.
 
Zitto Kabwe ni kiongozi wa kupigiwa mfano. Tulipotokewa na maafa ya meli zanzibar, Zitto ndiye aliyekuwakiongozi wa mwanzo kutoka bara kuwasili na kuwapa pole wazanzibari na hata katika kisomo alikuwa mstari wa mbele. Alituonyesha utu wake.
 
Agenda zake za uharibifu mtazielewa baadaye kidogo.

Tahadharini wana cdm usikute hizi threads kumfuatilia Zito .zimeletwa kimakusudi na ccm .ili kuleta makundi ndani ya cdm .kama ilivyo kuwa kwao .ilikudhohofisha cdm .na sio swala la Zito tuu ,ni pamoja na la udini ,angaliena sana sasa hivi .jf imejazwa na hoja za udini za Zito ,na cdm chama cha vurugu .nafikiri inatosha sasa kusema .cdm imeweza kuvuka yote hayo ,sasa watafute mbinu ingine ,Tafakari chukua hatua ,kama una akili ya kuchezewa na akili ndogo ndogo hizi za magamba pupets ,Endelea kuchangia huo upuuzi .
 
Back
Top Bottom