Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

Zitto Kabwe, ndani ya Addis na JK

Sizani kama ni sahihi kukandia kila jambo linalofanywa na Zitto. Kufanya hivyo tutakuwa hatumjengi ,ana mabaya yake na mazuri pia.Ameenda kutuwakilisha hivyo ni vyema tukapunguza hisia na chuki zenye mtazamo hasi.
 
pengine ni katika mipanhi ya kawsida ya nchi. JK anajua kuwa bila chama makini kama Chadema nchi haiendi. Viongozi wake wangekuwa ni mzigo mzito kwake. Lakini sasa kwa kupewa marungu na chadema wanajikuta kila saa ni watu wa kusikilizia. Kwa njia hii wanawajibika walau kwa kujikokota. Kwa hali ya kawaida unafikiri kimbunga cja juzi cha kuwafagia akina Mkulo ingewezekana bila ya shinikizo la M4C?
MKULU anajua kuwa ingawa upinzani ni pilipili ya macho, dawa si kuikimbia bali ni kuikwepa isiingie machoni.
 
WAKUU!

Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu Addis na Mkulu.

Makamanda, hii ime kaa je? wakati Makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa waTanzania huyu Mh. mbona yupo beneti na Magogoni sana?

Ni kuuliza tu Makamanda.

He would be foolish a man who did not know
a)which side of his slice was buttered ,
b) from which cow the milk producing the butter was milked from.

Zitto is not foolish.
 
acheni upuuzi na siasa zenu za kijinga!!!

kwanza mmehesabiwa nyinyi...maana jinsi hoja zenu zilivyo za kipuzzi dhidi ya Zitto nashindwa kuona tofauti baina yenu na wale wajinga waliokataa kuhesabiwa katika sensa ya watu na makazi.
 
unajua zitto kazaliwa lini?

Zitto Kabwe MWAKA 1975, mwanafunzi wa
mwaka wa kwanza wa Chuo
Kikuu cha Haile Selasie (sasa
Chuo Kikuu cha Addis Ababa),
Legese Zenawi, akiwa na umri
wa miaka 19 tu, aliacha masomo yake na kujiunga na
kikundi cha ukombozi cha
watu wa Tigray.
 
Bangi inakuharibu mkuu
 
jk anamrithisha mikoba ya vasco da gama ili kama bahati mbaya dogo katinga ikulu na yeye awe mzee wa misafara ya nje
 
WAKUU!

Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu Addis na Mkulu.

Makamanda, hii ime kaa je? wakati Makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa waTanzania huyu Mh. mbona yupo beneti na Magogoni sana?

Ni kuuliza tu Makamanda.

Aikuwa mpenzi wa aina ya uongozi wake (mtazamo wangu; samahani kama nimekosea). Soma makala yake ya Raia Mwema Toleo 257-Nitaishi Kuwa Meles Zenawi
 
Mwache ahangaike maana hata huo urais hatakaa aupate labda agonbee uraisi wa kubdi la leka dutigite
 
Ni kweli kwamba alimpigia kampeni JK badala ya Slaa ama ni uzushi tu?

Alijipigia kampeni mwenyewe maana alikua na hali mbaya sana dhidi ya mgombea wa cuf,na pia nilimuona siku moja akimpigia kampeni mnyika pale ubungo,hilo naweza kulishuhudia.
 
Muwe mnaanzisha thread zenye kujenga sio mtu ukiamka unataka anzisha thread m4c imesimamishwa siku 5 yeye zk alikuwa huko karatu kwenye kujenga chama kwa ajili ya chuki mmemsahau mabogus sana nyie. zitto kama Mungu atataka uwe rais utakuwa tu sikutaraji kama wana-cdm ndo wamekuwa namba moja kukupiga madongo kwa ishu ya urais tu? hivi tukiwauliza hawa jamaa wameifanyia nn cdm watajilinganisha na ww mchango wako kwa chama? kaka ukiona giza linakuwa kubwa ujue asubui inakaribia.
 
Wakuu na huyo wa kwanza Kushoto ni Lusin
de? Kama ni yeye basi hii hiyo safari ni ya washikaji tu. Si uhakika Kama anao uwezo wa kutoa pole kwa kingereza!.
 
Zito kawakilisha wapinzani, sio mbaya kwenda kwenye msiba, mbaya kama alipanda ndege ya raisi ambayo tunalia inatumaliza walipa kodi.
 
Mimi huwa sielewi kwanini wana-CDM wengi wa JF hawampendi Zitto! Kwani hizo safari zake huwa hazipati baraka toka kwa uongozi wa CDM? Hivi amewakosea nini huyu bwana mdogo?
 
Zitto ni disaster na ninashangaa watu ambao mnatoa povu kumtetea huyu gaidi wa ukombozi, huyo jamaa ni puppet leader, mfatilieni kwa makini mambo yake ndio mtagundua, huyu jamaa kama aliweza kumpigia kampeni Jk badala ya Dr.slaa 2010, je anashindwa nn kukisaliti chama? THINK BIG magreat thinkers huyu jamaaa hafai na sisi hatutacha kumchana live hata siku 1.
mkuu umenena,dogo yule hafai na mbinafs,na mdini sana.
 
Mimi huwa sielewi kwanini wana-CDM wengi wa JF hawampendi Zitto! Kwani hizo safari zake huwa hazipati baraka toka kwa uongozi wa CDM? Hivi amewakosea nini huyu bwana mdogo?
anajiona yeye ni bora kuliko chama.
 
Sijui waTg tukoje! Kila kitu kurahisisha! Ooh siasa sio vita siasa sio vita! Umesha ona kunguru wanaruka pamoja na njiwa?

Na kama ni kuongozana na MPINZANI,kwa nini iwe ni Zitto tu!? Hakuna wapinzani wengine? Kumbuka hata Sudan kusini,JK alienda naye huyu huyu!
 
Alijipigia kampeni mwenyewe maana alikua na hali mbaya sana dhidi ya mgombea wa cuf,na pia nilimuona siku moja akimpigia kampeni mnyika pale ubungo,hilo naweza kulishuhudia.
amekutuma uje umtete,basi atakuwa mnafki kidoma ampigie kampeni dhaifu na yeye mwenyewe,ubungo ampigie kampeni mnyika.
 
Na kama ni kuongozana na MPINZANI,kwa nini iwe ni Zitto tu!? Hakuna wapinzani wengine? Kumbuka hata Sudan kusini,JK alienda naye huyu huyu!
kweli mkuu angeongozana hata na machari mkuu,hata yule si upinzani.
 
Back
Top Bottom