Hivi kwanini zitto hashiriki m4c? Yeye namuona yupo kivyake tu..
amekutuma uje umtete,basi atakuwa mnafki kidoma ampigie kampeni dhaifu na yeye mwenyewe,ubungo ampigie kampeni mnyika.
Alijipigia kampeni mwenyewe za urais?ugombea binafsi?ama una maanisha alijipigia kampeni za ubunge?swali langu kama hukulielewa,lilihusu kampeni za ugombea urais,ni kweli alimkampenia JK?ama ni uzushi tu?
Tatizo la wachangiaji wengi wa Jamii forums wako biased na Zitto. Hamuangalii uhusiano wake na hao mnaowaita CCM ni wakati gani. Mbowe Sugu, lema wote wako nje ya nchi. Kaenda Zitto msibani mnahoji kutokuwepo kwakwe kwenye M4C. Mbona hamuwahoji hao wengine? Nyie ndio mnaofanya watu waone CDM ni chama cha Ukanda. Zitto angekuwa mnafiki angeichachafya serikali bungeni? Mnazungumzia unafiki kuhudhuria misiba? Nani atabisha kwamba unaposema wabunge wawili wanaoisumbua serikali ktk CDM lazima zitto yumo? Zitto ndio aliyeleta hamasa ndani ya CDM na kukipa umaarufu. Ana mchango mkubwa sana. Mlitaka aende Mnyika ndio muone amewakilisha CDM? Kweli waswahii husema 'kunyata anyate kinyonga, akinyata kicheche anavizia kuku'. Je mkijua kuwa chama ndio kimemteua kuwakilisha mtasemaje? Mwacheni kijana afanye anachofanya mnatakiwa kumuunga mkono. Je wale wabunge wa CCM walioenda na zitto Kigoma kwenye Leka Tutigite waliisaliti CCM? Kwani CCM haikujua kuwa wameenda na organiser ni CDM? Inamaana kwakuwa zitto ni CDM wangesusa? Hapa angalieni ushiriki wa mtu kwa jambo husika. By the way, siasa sio uadui. Nawakilisha.
WAKUU!
Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu Addis na Mkulu.
Makamanda, hii ime kaa je? wakati Makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa waTanzania huyu Mh. mbona yupo beneti na Magogoni sana?
Ni kuuliza tu Makamanda.
dr silaa angekuwa anatupigania uhuru kama nyerere, tunge upata lakini tunge mwaga damu, jamani chadema tuna hoja za msingi kweli kweli, lakini tusifikie hatua hii. tutambue kua uadui wa kisiasa sio uadui wa kushiriki katika mambo ya kijamii !Atatumia njia kama ya JK huko chadema kwenye urais.
wewe ni mwanaitikadi wala sio mwanasiasa ndo maana unamuungunisha Zitto na kikwete, Zitto amewakilisha cdm na wananchi wa tz, na sio itikadi, kwani kule hajaenda kuswali au kuongoza ibada, ameenda kwenye mazishi. kuwa mwelewa wewe ndg, vinginevyo watu watakushangaa sana tena sana. Pole.Zitto anaanza kujenga mazingira ya kurejea nyumbani kama mwenzake Kaboro. Hawa jamaa ni wa hovyo sana na wana tamaa ya madaraka hakuna mfano. Ukitaka kujua Zitto ni pandikizi jiulize ni kwanini hakukanusha vilivyo tuhuma za uhusiano wake na Zoka ambaye anadaiwa kumteka Ulimboka. Badala ya kujitetea serikali iliamua kulifungia gazeti la Mwanahalisi. Zitto na Kikwete wote ni wasanii na wapenda madaraka hata kama hawana uwezo na hayo madaraka.
ndo mkombozi mnayemfagilia kila kukicha, yaani hata akijisaidia njiani mtasema zoa kwa sababu anatoka kanda ya kasakzi. isitoshe Zitto ana busara hata ya kuyaendea mambo, watu wanaleta ushabiki tu wa kumusakama zitto eti kwa sababu ana dhamira ya kugombea urais hicho tu ndo kinachowatoa roho cdm na sio kingine, kwa sababu mnataka mchaga na familia yake yote watawale nchi ila sio kabila lingine kama zitto, kwa taarifa yenu kumjadili sana zito ndo mnampa chati zaid na nyie kujishushia hadhi.dr silaa angekuwa anatupigania uhuru kama nyerere, tunge upata lakini tunge mwaga damu, jamani chadema tuna hoja za msingi kweli kweli, lakini tusifikie hatua hii. tutambue kua uadui wa kisiasa sio uadui wa kushiriki katika mambo ya kijamii !
Mi naona tatizo ni ninyi wala siyo Zitto. Kwa nini mnakua na wawazo hasi kila wakati? Hilo litakuja kuangamiza CDM siku za mbeleni coz tunakua na wanachama ambao hawataki kufikiri kwa mapana na kuwa na mawazo chanya. Kila wakati mawazo hasi tu. Mi sidhani kama Zitto atakua amekurupuka bila kuwaaga viongozi, na M4C haimtegemei Zitto. Bila Zitto M4C itakuwepo na matokeo tutayaona. Acheni kupandikiza chuzi binafsi, hizi hazijengi bali zinabomoa CDM. Kama unaleta hoja zako hapo, njoo na data kamili kwamba ameondoka bila kuaga na viongozi wake hawajui alipo na amegoma kuja Morogoro. kama ni fitna hatuzitaki na Mkome kukifuata fuata CDM, nyie mmetumwa kabisaaa wala sio Zitto!