Mkuu siasa sio chuki, nadhani Zito amepata baraka zote toka kwa Viongozi wake. Suala la Zito kutoka nje na JK, linamjenga sana kidiplomasia na kuelewa siasa za nje zinavyoendeshwa. CDM wanahitaji sana ujuzi huu, na wapo kufuatilia kila kitu kwa karibu mno.
On other hand; hiyo yaweza kuwa janja ya serikali ya CCM kupandikiza hisia za chuki, kutoaminiana na makundi ndani ya CDM. Technique hii ni mzuri kuvuruga nguvu za CDM ambazo zinawakosesha usingizi CCM
Only solutions now for CDM are:
1) To keep our eyes veryvery close to Zito. Na ikigundulika ni double agent, atoswe mara moja.
2) Japo ni too late, iwekwe protocal ndani ya CDM, kama kuna nafasi kama hizo, CDM ndio watoe Jina la atakayesafiri i according na maudhui ya safari yenyewe.
WAKUU!
Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu Addis na Mkulu.
Makamanda, hii ime kaa je? wakati Makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa waTanzania huyu Mh. mbona yupo beneti na Magogoni sana?
Ni kuuliza tu Makamanda.
acha ukabila weweM4C movement for chaga na yeye ni muha wa kigoma sasa unataka akafanye nini huko?
mkuu ina maana kila muislam ni mdini?hembu tuambie na mkristo gani mdini?mkuu umenena,dogo yule hafai na mbinafs,na mdini sana.
WAKUU!
Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu Addis na Mkulu.
Makamanda, hii ime kaa je? wakati Makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa waTanzania huyu Mh. mbona yupo beneti na Magogoni sana?
Ni kuuliza tu Makamanda.
mkuu umenena,dogo yule hafai na mbinafs,na mdini sana.
Mbowe na Sugu wako marekani wanafanya matamasha ya muziki sugu anaimba mbowe ni DJ wake.