Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
acheni majungu watoto wa mtei. mbona hamsemi ni kosa gani kafanya kwa kuhudhuria mazishi?
mkuu sijakusoma vyemaZito, Marando, na Selasini fanyeni kazi kwa bidii 2015 sio mbali
sanane hii ni kweli? Au wanamsingizia mwajiri wako mzeewakuu!
Namshangaa huyu mh. Zitto z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa m4c morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu addis na mkulu.
Makamanda, hii ime kaa je? Wakati makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa watanzania huyu mh. Mbona yupo beneti na magogoni sana?
Ni kuuliza tu makamanda.
Kelele za nini? hata biblia inasema ACHENI WAFU WAZIKE WAFU WAO.Tumwache akazike tu wakuu.
Hivi kwanini zitto hashiriki m4c? Yeye namuona yupo kivyake tu..
Kwani kufanya kazi za kitaifa ni kosa. Kwa mawazo yako, kwa vile ni Mbunge wa CHADEMA basi hatakiwi afanye shughuli za kitaifa. Kwani hujui kama ni mwakilishi wa wananchi. Mawazo kama haya ni matokeo ya mbegu iliyopandikizwa ya chuki kwa tofauti ya kimawazo na kiitikadi. Kwani mpaka awepo kwenye M4C ndiyo uone kama anafanya kazi. Think bigger
Sijui waTg tukoje! Kila kitu kurahisisha! Ooh siasa sio vita siasa sio vita! Umesha ona kunguru wanaruka pamoja na njiwa?
Haka kajamaa nika**** sana,kanategea kuimalisha chama,kina slaa wanahangaika na m4c then baadae kaje eti nataka kuwa raisi..hapo kamekwenda kuuza dili kwa mwislamu mwenzie,hatudanganyiki.
Hajapata usaili katika chama hiki kipya(M4C) bado anasimamia CDM.
bangi inakuharibu mkuu
WAKUU!
Hapa hoja yangu sio vita au uadui. Nimejiuliza kwamba, iweje aweze kuitikia wito wa Magogoni kwa haraka na bila mawasiliano kukatika na kuungana na Mkulu, lakini kwenye la M4C mawasiliano yalikatika na hatukumuona kabisa licha ya kuahidi kuhudhuria kama tulivyo taarifiwa?
Some people need to grow up
WAKUU!
Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu Addis na Mkulu.
Makamanda, hii ime kaa je? wakati Makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa waTanzania huyu Mh. mbona yupo beneti na Magogoni sana?
Ni kuuliza tu Makamanda.