The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,516
- 2,080
Alipozungumza kwenye mkutano wa rais amesema Rais ameleta utulivu wa kisiasa kwa nchi yetu hasa baada ya kuunda kikosi kazi.
Amesema Rais Samia ana dhamira ya dhati ya kufanya mambo makubwa kwa taifa letu, akiwaomba wananchi wampokee na kumuunga mkono.
---
"Rais wetu ana dhamira njema sana, ana maono na matamanio makubwa sana sio kwa nchi bali pia kwa Kigoma, niongee kama mwami, mama huyu hapa mpokeeni, tufanye naye kazi, tushirikiane naye tulete mabadiliko katika nchi" - Zitto Kabwe