Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Hakuna dikteta anaeenda mbinguni.
Madikteta wote ufanya Kazi ya shetani​
Unajua kuna wahalifu wa kutisha wanatubu dakika za mwisho za uhai wao na wanapata msamaha kwa Mungu? unakijua kisa cha yule mhalifu sugu aliyesulubiwa pamoja na Yesu? alitubu palepale msalabani na Yesu akamwambia leo hii utakuwa pamoja nami peponi......kuna roho ya kufanya toba ya kweli ilimjia na palepale dakika chache kabla ya kufariki akapata wokovu, acha kabisa mambo haya.........​
 
Kadinali Mapengo ni mtu wa idara tangu kpndi cha Mchonga,yeye yupo kwenye desk ya religion so,huyo siyo mtu wa Mungu kama wengi mnavyodhani...kuna operations nyingi sana huwa anashiriki.By the way uliwahi kumsikia akiikosoa ccm?
Mkuu naomba nikuulize jambo dogo, kumbe ukiwa mtu wa idara basi unajitoa kuwa mtu wa Mungu.........yaani unataka kutuaminisha idara inafanya kazi ya ibilisi?
 
Huyo hana cha kupumzika,kuna damu zisizo na hatia zinamlilia Mungu Muumba wa vyote na matokeo yake adhabu anaibeba yeye Shaitwan wa Chattle land...aliua,alilawiti watu,alitesa watu na kuwatendea ubaya mwingi sana!
Maandiko yameandika samehe saba mara sabini ili uishi miaka mingi
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Magufuli hakuwa Mungu bro, alikuwa ni mwanadamu wa kawaida kabisa ambaye anatenda mambo mazuri na anatenda makosa kama wengine. Waache wanaomkosoa watiririke, kama kuna legacy nzuri iliyoachwa na JPM itajisemea yenyewe.
 
Huyo hana cha kupumzika,kuna damu zisizo na hatia zinamlilia Mungu Muumba wa vyote na matokeo yake adhabu anaibeba yeye Shaitwan wa Chattle land...aliua,alilawiti watu,alitesa watu na kuwatendea ubaya mwingi sana!
Sijawahi kuona una comments zaidi ya “Noma sana” hakika leo umetoa ya moyoni mkuu pole sana
 
Unajuaje kama kuna kupumzika huko
Kuna mahubiri huwa tunakumbushwa kwamba kulingana na matendo yako, amali zako ulizochuma duniani (kwa kificho au kwa dhahiri) kuna ambao mateso yao yataanzia kaburini siku anazikwa mpaka siku ya kufufuliwa kwa ajili ya hukumu, na pia kuna ambao pepo wataanza kuionja kaburini siku wanazikwa mpaka siku ya hukumu.
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Kwanini wakeahe kumsema hayati jamani. Mbona nchi ina mambo mengi tu ya kusemea? Walisemee na la katiba basi
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Mtoa hoja fuatilia clips za yule comedian muha wa Kigoma ndiyo utajua kama kuna kupumzika huko ama laa
 
Huyo vicky labda anatafuta arudishwe

Kwenye ulaji

Biashara,kazi kihuhalali mtaani ni ngumu

Ova
 
Unajua kuna wahalifu wa kutisha wanatubu dakika za mwisho za uhai wao na wanapata msamaha kwa Mungu? unakijua kisa cha yule mhalifu sugu aliyesulubiwa pamoja na Yesu? alitubu palepale msalabani na Yesu akamwambia leo hii utakuwa pamoja nami peponi......kuna roho ya kufanya toba ya kweli ilimjia na palepale dakika chache kabla ya kufariki akapata wokovu, acha kabisa mambo haya.........​
Msamaha ni wa Mola utakutana nae kuzimu.
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Magufuli awe mbinguni!!!!????
 
Back
Top Bottom