Zitto Kabwe: Mayanga Construction ni kampuni ya hayati Magufuli!

Zitto Kabwe: Mayanga Construction ni kampuni ya hayati Magufuli!

Kampuni husajiliwa,
Je ilisajiliwa nawakurugenzi na Simba Yuda akiwemo?
Mbona makampuni mengi tu yapo kwa vivuli vya watumishi was serekale.why Magu tu
Kampuni ikisajiriwa matarajio ni kupata kazi serikalini na sekta binafsi ili kutimiza matarajio ya wanahisa ambayo ni kupata faida.Ulitegemea mayanja wakatae tender za serikali simply mwenye kampuni ni Rais.Mmepotea badala ya kupoteza legacy ya legendary nendENI TRA kaangalie kama kampuni inalipa Kodi au laengine ni porojo tu na uvivu wa kufikiria.HAPA KAZI TU
 
Okay !!!...,

Ila kama wapinzania na kwa manufaa zaidi tuongelee upigaji na uzembe unaotokea now..., Au all is well ?
 
Sasa amejua Leo sisi tunachofurahia ni uwanja upo ishu anamiliki mama yake zito wala nani hayatuhusu

USSR
Mbona unapanic?umesikia CAG alivyosema kuhusu huo uwanja?na ATCL wamesitisha safari za Chato hakuna abiria wewe unachekelea tu.
 
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Cinstruction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport nu ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wiwote au ni uzushi ulioxoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!
Mayanga apambane na hali yake
 
Mama Samia na genge lake la wahuni wananikumbusha akina Mbowe muda waliotumia kumtukana na kumkejeli Dkt Magufuli, ilipofika 2020 Mbowe na wahuni wenzake wakajikuta hawana ajenda mara eti kura sijui zimefanyeje mara ohhh, sasa huu mchezo umehamia CCM ndani, Mama kuna kundi la wahuni lina mshauri vibaya ili apoteze muda kumshutumu marehemu ikifika tu 2025 watamuambia hakubaliki, then watasema inabidi atafutwe anayekubalika. Hakika Mama hawajui hao ambao anawaita washirika wake watampoteza mchana kweupe
 
Mayanja ni kampuni hali.Pambana na hali yako binafsi.Kama kuna tatizo la compliance nenda mahakamani, pia usisahau shitaki kampuni za wachina wanaojenga SGR
Mnajidanganya. Mayanga ilibebwa sana na mwendazake. Apambane na hali yake
 
Mama Samia na genge lake la wahuni wananikumbusha akina Mbowe muda waliotumia kumtukana na kumkejeli Dkt Magufuli, ilipofika 2020 Mbowe na wahuni wenzake wakajikuta hawana ajenda mara eti kura sijui zimefanyeje mara ohhh, sasa huu mchezo umehamia CCM ndani, Mama kuna kundi la wahuni lina mshauri vibaya ili apoteze muda kumshutumu marehemu ikifika tu 2025 watamuambia hakubaliki, then watasema inabidi atafutwe anayekubalika. Hakika Mama hawajui hao ambao anawaita washirika wake watampoteza mchana kweupe
Wanatamaa hao mading wanakitaka kiti ngoja 2025 atabak mwenyew coz sahiv anasuppotiwa ili watu wasipoteze nafas zao
 
Alianzisha yeye kushambulia wastafu bila kuwafunga alikuwa anaongea uongo yeye magu hakuna mtu alimtukana kama jk kama alikuwa na ushahidi nayeye magu alikuwa rais alitakiwa amfunge alitupigia makele sana jamaa yule hata kama yeye asikii wala kujibu familia yake isikie na jamaa zake wasikie jamaa katika utawala wake wavuvi alitutesa sana
Sahiv ukiangalia hakuna point itakayo mfany magu haonekane ana hatia kwa sababu kila anaejalibu kuonesha makosa ya magu vitu alivyo fany magu vinaonyesh waz hana hatia magufur alikuwa mwamba tenah mwamb imara
 
CAG report,
 
Back
Top Bottom