Jana mida mibovu kuna uzi ulikuwemo humu ulikua unazungumzia afya ya nyepesi hatari tupu kumbe jamaa yuko hivyo halafu bado haishi kujaa chuki namna hiyo??Zitto anamiliki tunguli na hirizi
Hakika alikuwa Shujaa wa Afrika.Kabisa,mfano mdogo tu,wenzetu hapo jirani Kenya huwa wanatuponda kwa mambo mengi ila moto wa JPM waliuelewa haswa mpaka kutamani angalau awe raisi wao kwa mwezi mmoja...
Tena anawashwa Mkund*nZitto anawashwa kweli huyu ndumilakuwili.
Uchawa umemjaaAtuletee MEMARTS na hata kama ndio kwani kuna ubaya? Yeye ama kampuni ngapi?
Uchumi wa kati upi?Legacy ya JPM si ya kimchezo mchezo, yani hadi leo hii hawaamini mwamba wa dunia miaka 6 tu maendeleo tele kuliko awamu zote [emoji28]
Yani Mtu ni Fisadi, Mwizi, Nduli lakini bado katoboa hadi kuifikisha TZ uchumi wa kati [emoji23]
TZ inahitaji Marais aina ya JPM wengi sana ili irudi tena uchumi wa kati [emoji1787]
Nje ya mada tafadhari.....Walipambana na Magufuli akiwa hai wakachemka! Wakasubiri afariki! Wamejaribu kupambana na kaburi lake bado wamechemka! Waulize wizara ya afya watakuambia jinsi watu walivyoshika maelekezo ya Magufuli kuhusu corona!! Hachanji mtu hapa! havai MTU barakoa hapa!! huvaliwa kwenye hafla za kitaifa tu mbele ya kamera kuwafayia usanii màbeberu!
Kwako wewe unaona hivyo lakini pamoja na kufanya hayo alikuwa mtu wahovyo hakupenda elimu aliipenda kinafiki alitaka kuturudisha nyuma kielimu kwasababu asilimia kubwa ya watz niwakulima wadogo tena wajembe la mkono wanahajitoa kusomesha Mtoto alafu Mtoto anapata digrii unamambia ajiajiri bila hatamtaji na anakuwa kachukuwa nguvu yote yamzee l nyumbani lakini ndio hivyo kijana hana kazi je Mzee atachukua tena Mdogo wakijana nayeye apelekwe shule kama kweli Mzee huyo anajipenda ? Sasa hapo jamaa magu anastahili kusifiwa? au kulaniwa.Sahiv ukiangalia hakuna point itakayo mfany magu haonekane ana hatia kwa sababu kila anaejalibu kuonesha makosa ya magu vitu alivyo fany magu vinaonyesh waz hana hatia magufur alikuwa mwamba tenah mwamb imara
Ujue nashindwa Kuelewa Serikali ya Huyu Jumong kukaa Kimya aliekuwa Rais Wa Nchi Kushambuliwa Hivi.Unataka nijibu nini kwa mtu aliyeleta allegations bila uthibitisho?
Kama Mayanga ni ya Magufuli kweli aweke ushahidi mezani, simple tu, sio kelele kila siku kama chawa.
Hizo hearsay huwa zinashangiliwa na vilaza wa sampuli yako tu.
Ukiangalia ki upana magufur alitak Tanzania iwe ya viwand kwa sababu alion watanzania weng wana elimu but kaz ndo hamn lakin kwa mtazamo wang mm magu kama angalikuwepo hai bac angeweza kulipunguz hili angalau kwa kias we angalia iliwafany vijan kuto kutegemea elimu kwa kuw ni kwer elimu tulikuw nayo lakin vitendea kaz hatukua navyo asa usiseme alikosea na wakat mtu alikuw ana watesekea wananchiKwako wewe unaona hivyo lakini pamoja na kufanya hayo alikuwa mtu wahovyo hakupenda elimu aliipenda kinafiki alitaka kuturudisha nyuma kielimu kwasababu asilimia kubwa ya watz niwakulima wadogo tena wajembe la mkono wanahajitoa kusomesha Mtoto alafu Mtoto anapata digrii unamambia ajiajiri bila hatamtaji na anakuwa kachukuwa nguvu yote yamzee l nyumbani lakini ndio hivyo kijana hana kazi je Mzee atachukua tena Mdogo wakijana nayeye apelekwe shule kama kweli Mzee huyo anajipenda ? Sasa hapo jamaa magu anastahili kusifiwa? au kulaniwa.
Mbona hakusema wakati Magufuli yuko hai?Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Construction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport ni ya hayati Magufuli.
Je, taarifa hizi zina ukweli wowote au ni uzushi uliozoeleka wa Zitto?
Nchi ngumu sana hii!
MAYANGA WAJITOKEZE WATUAMBIEAkiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Construction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport ni ya hayati Magufuli.
Je, taarifa hizi zina ukweli wowote au ni uzushi uliozoeleka wa Zitto?
Nchi ngumu sana hii!
miaka kama4 nyuma hii mayanga kulikuwa na uzi wake humu ukimpapasa aliyemtaja zitoZitto sasa inatosha mwendazake hayupo tena na wala hakuskii
ni kweli ni ya JiweAkiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Construction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport ni ya hayati Magufuli.
Je, taarifa hizi zina ukweli wowote au ni uzushi uliozoeleka wa Zitto?
Nchi ngumu sana hii!